Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Bado lipo tumaini mashahidi wa washtakiwa hawatatuangusha maana wataongea kitu ambacho kipo sio cha kutunga kama walivyofanya wale mashahidi wa jamhuri
 
Shida ni kwamba mlikuwa mnaiendesha kesi kwenye mitandao.
Hii kesi mliichukulia rahis sana.
Niliwaambia mapema sana humu hi kesi NGUMU ila kea kuwa mna mahaba na mwenyekiti mkafunga macho na masikio
siku ya leo nimejisikia huzuni sana basi bana kuna Mungu over anything and everybody
 
Mahakama iko sahihi kuna kesi ya kujibu kama hao makomandoo waliajiriwa kama walinzi wa mbowe au Lisu je taratibu za ajira zikizingatiwa? Wakkatwa Kofi ya mapato ya TRA na NSSF kipindi chote cha hiyo ajira yao iwe ya siku moja au wiki au nk sababu ukiajiri kibarua hata kwa Siku moja lazima ukate TRA na NSSF

Hao makomandoo waliajiriwa kwa mkataba UPI? It appears waliitwa kwa ajira IPI hiyo isiyotambuliwa sheria za ajira,NSSF na TRA? Kama siio ugaidi
 
kwa hiyo kesi imekuwa ya kodi na masuala ya ajira na sio ugaidi?
 
Shida ni kwamba mlikuwa mnaiendesha kesi kwenye mitandao.
Hii kesi mliichukulia rahis sana.
Niliwaambia mapema sana humu hi kesi NGUMU ila kea kuwa mna mahaba na mwenyekiti mkafunga macho na masikio
kwani nilikwambia mm ni chadema
kwani nilikwambia mm nina undugu na mbowe
kinachoniuma ni value ya utu na ubinadamu nilionao kuona wanadamu wenzangu wanaonewa bila vivid explanation
 
Sirro nae ajiandae kupanda mahakamani kama shahidi sasa,kesi ya Mchongo lazima wapenda haki tushinde tu
 
Shida ni kwamba mlikuwa mnaiendesha kesi kwenye mitandao.
Hii kesi mliichukulia rahis sana.
Niliwaambia mapema sana humu hi kesi NGUMU ila kea kuwa mna mahaba na mwenyekiti mkafunga macho na masikio
Kesi haina ugumu wowote uache ujinga, mapingamizi yote ya utetezi yalitupwa licha ya kina Kingai kutojua chochote kuhusu PGO, lengo ndio lilikuwa wawakute watuhumiwa na kesi ya kujibu ili mwishowe wawafunge gerezani kutimiza malengo ya bosi wao anayewapa vyeo.
 
Unajua maana ya informal job??

We houseboy wako uajiri wake umepitia nssf plus tra??
 
Ndilo tatizo lenu.
Kwenye mitandao wengi ni mahakimu,majaji,mawakili ,wanasheria.
Jamani nilishawaambia humu kesi haziendeshwi kwa mihemko Wala HASHTAG.
Kesi inapoanza uwa ndogo sana ila kadri muda unavyoenda inakuwa kubwa
Pole sana Kama wanna haki watakuja kuipata
kwani nilikwambia mm ni chadema
kwani nilikwambia mm nina undugu na mbowe
kinachoniuma ni value ya utu na ubinadamu nilionao kuona wanadamu wenzangu wanaonewa bila vivid explanation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…