Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

CCM wanafikiri kumfuanga Mbowe kifungo kirefu ndiyo watapumua Suala la katiba mpya...wanafikiri wataitawala nchi hii milele...maweee!!

Unapoambiwa una kesi ya kujibu lesi ambayo haipo basi fahamu kwamba washapanga hadi hukumu itakavyokuwa.
Mbowe sio TZ ndugu,hata zamani tuliaminishwa kwamba bila Nyerere nchi itayumba,Ila mpaka saivi mambo Yao Sawa, watzania wapo wengi Sana,nawatafanya/watadai Katiba Yao bila Mbowe na itapatikana,tusikae kuabudu mtu mmoja kama vile hatuna akili
 
Lissu ni mpango wa Mbowe, ndio maana dereva wake alikimbia mzee.
Ndicho wanachokitaka ccm kwako ujue kusoma na kuandika tu. Alafu kila wakikuambia ukubali. Kwa Lisu ata wakisema babaako ndiyo aliyempiga risasi utakubali
 
Tarehe 4.3.2022 Mbowe na wenzake wataanza kupanda kizimbani kujitetea wakiongozwa na mawakili wao; kisha upande wa mashtaka utapata fursa ya kuwadodosa ( cross examination).

Matumaini yangu ni kuwa wale jamaa wa live update watakuwepo pia na sisi hasa mimi nitatuta vyanzo vingine kuumbua ujamja wao wa kuongeza chumvi zao.
 
Umbwa
 
Wenzako wanahaha kutafuta mwanya wa kufuta we unawaza ujinga.
 
Kazi nzuri
 
Bora nikanywe zangu chai uzi unanipotezea mda tuu
 
Ugaidi ni kumbambikia mtu kesi ya ugaidi. Kukosa akili kunawasababisha wafuasi wa watawala kuonekana zeros. Ujinga mtupu
 
Tuliikosa hii fursa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…