Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni, miongozo nk, vyama vya siasa vilitakiwa kuwasilisha ratiba zao za kampeni na kule Songwe alikokamatwa Mbowe na genge ratiba ilikuwa inaonyesha kuwa ACT wangefanya mkutano, Mbowe kwenda kufanya mkutano kwenye ratiba ya ACT ilikuwa ni ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi.
Kanuni hiyo ya 49 (k) inapatikana ukurasa wa 28 wa kanuni za uchaguzi za serikali za mitaa inayohusu makosa na adhabu na inasema kuwa mtu yeyote atakuwa ametenda kosa la uchaguzi endapo atavuruga ratiba ya mikutano ya kampeni za uchaguzi au atavunja masharti ya kampeni za uchaguzi.
Na adhabu yake imetajwa katika kanuni 49 (2) kuwa ni faini isiyozidi shilingi 300,000 au jela isizidi mwaka au vyote kwa pamoja.
Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu na ningekuwa mimi ndio mamlaka lazima angekuwa behind the bar na jela kulivyokuwa na joto aisee.
PIA SOMA
- LGE2024 - Jeshi la Polisi wamkamata Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Songwe sababu hazijafahamika