LGE2024 Mbowe na wenzake wamekiuka Kanuni ya 49 (k) ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, adhabu yake ni faini au jela mwaka au vyote viwili

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Sidhani kama unajua sheria vizuri au kuzitafsiri hizo sheria. ACT wamewakaribisha CDM kwenye mkutano wao kama Watanzania wowote wanavyo weza kuudhuria mkutano wowote. sasa hapo kuna kosa gani, CCM nyie niwaoga, wapinzani wenyewe, viongozi wao mmewaengua karibu wote wamebaki 30% na bado mnahofia kweli nyie kiboko.
 
Wamekamatwa wakifanya kampeni au wakiwa safarini kuelekea songwe?
 
Upuuzi mtupu
 
Wamekwenda na maji hao, kifungo kitaisha baada ya uchaguzi wa 2025
 
Nini tofauti ya kuwa behind (the) bar na jela?

Amandla...
 
Kwenye hizo kampeni tunaona ccm inatumia raslimali za umma kama magari ya serekali nk, na hakuna hatua yoyote wanachukuliwa, sasa sujui ni sheria gani unaongelea.
 
CCM ndiyo genge la hatari zaidi nchini Tanzania
Ni genge la hatari kuliko lile la Pablo Escobar.
 
Wamekamatwa wakifanya kampeni au wakiwa safarini kuelekea songwe?
Hata kama walikuwa wanafanya kampeni kama watu walikuwa wanamakubaliano POLISI Hawakuwa na haki ya kuwakamata, Ingekuwa ni CCM wala wasingewafanyia hivyo walivyo wafanyia Cdm.
 
Ccm tupo juu sana. Tumejaza fomu kiuhakika, hatukiuki sheria, ndio watu pekee duniani tuanaofanya mambo kwa usahihi kwa 100%. Itabidi tuombe tuingie ktk vitabu vya historia
 
Wewe ni wakiume au wakike?
 
Ccm tupo juu sana. Tumejaza fomu kiuhakika, hatukiuki sheria, ndio watu pekee duniani tuanaofanya mambo kwa usahihi kwa 100%. Itabidi tuombe tuingie ktk vitabu vya historia
Mtu anaye fanya kitu kwa usahihi wala hatumii nguvu nyingi kujinadi kuhusu usahihi wake. Mkiona hivyo mjue kuna walakini, kikubwa kinacho wabeba CCM mpaka sasa ni katiba na mfumo wa nchi, asilimia kubwa ya wafanyakazi serikalini ni CCM na vyombo vyote vya kusimamia maamuzi wakuu wa mikoa, wakurugezi wote ni CCM kwahiyo mfumo unawabeba. Sasa mngejitaidi kuboresha hali za wananchi ili msipate upinzani zaidi ila hamuwezi
 
Nguvu kubwa inatumika kuliko kuokoa waganga wa kariakoo
 
Mkuu wenye ratiba walilalamika??? ACT wazalendo wamelalamika kuingilia ratiba???
 

Sawa mweshimiwa jaji, mbona mmewaachia sasa? Hawakuvunja tena? Au huruma tu?
 
Wewe inafahamika akili zako zimechanganyika na haja kubwa nani atakupa mamlaka hayo?
 
Wafungeni tu wakome
 
ACT Wazalendo waliwaruhusu Chadema watumie uwanja wao, ACT hawakulalamika na polisi imekosa mlalamikaji hivyo kushindwa kufungua kesi.
 
Nawewe soma hata maelezo ya wengine basi a Moja na kunukuu hizo kanuni pia Kuna makubalianao yaliyofanywa na pande zote mbili kati ya ACT na CDM a Moja na msimamizi wa uchaguzi wa eneo husika Sasa hivyo vifungu vyako vinafanyaje kazi maana wahusika walielewana na na hakukuwa na fujo iliyoripotiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…