LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kukiwa na Tume Huru iko kazi. Mtaani watu wamechoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tume huru ndio imekuwa kamsemo ka kukimbilia. Kwani 2015 haikuwa huru?Tume Huru ndiyo dawa yenu..uhuni uhuni hatutaki safari hii.
Kwa hiyo wewe unaangalia mtu kutoka familia tajiri bac. Hauangalii maadili na utu?Yule mwenzio kazaliwa ktk familia ya kibilionea hawezi fanana na ww kapuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe unaangalia mtu kutoka familia tajiri bac. Hauangalii maadili na utu?
Maneno ya mtu ndio huwa kipimo cha akili ya mtu.Ninyi mliokulia ktk shida lazma mhangaike kwa wale waliofanikiwa kubwa pambana ufke alipo mwenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma mnapambana na Mbowe badala ya kupambana na USHAMBA uliowaja
We mpumbavu usifananishe wachaga na hao ng'ombe wanaokaa mda wote nyuma ya makalio ya ng'ombe wenzao.

Mkuu uoni kumuandama sana Bw Mbowe huku wewe ukitokea CCM tawala chenye kila aina ya silaha lukuki ni kama unaogopa kivuli chake?Mimi yangu macho maana mtu kama kiongozi wa chama chenye ushindan huwezi kuamini siasa za kwenye mitandao ukaacha siasa za kijumuia baada ya kuona nyuzi nyingi zimeanzishwa zikiwasema vibaya wale wabunge walioenda bungeni kua wamenunuliwa na CCM.
Nikachoka kabisa nikasema kwa hiyo Mbowe kama kiongozi anashindwa kulimaliza ili tatizo na wabunge wake kwa kuzungumza nao kutaka ku-solve hii ishu kidiplomasia kaamua awatimue kisa tu wameenda tofauti na maagizo yake nikaona hapa kuna tatizo kiongozi kama Mbowe hataki kufanya maamuzi ya busara kisa tu atachekwa na CCM na kina kigogo wanaomuongoza kwenye mitandao nikasema basi CHADEMA tuwaombee
Nimeona uzi vijana wa Ufipa wamezianzisha na kusema kuwa jana walikuwa Lumumba wamebahatika kuona malipo ya hao wabunge na posho zao nikasema kweli wajinga ndio waliwao. CCM ipange kununua watu kama kweli inanunua halafu mambo yawe wazi hivyo nikaona hii mfa maji tu haishi kutapa tapa
CHADEMA ifikie hatua na chama chenu muwe mnakisimamia ipasavyo bila hivyo msije kumlaumu mtu
Halafu asilimia kubwa ya viongozi wa CHADEMA sio wazawa wa chama hata mwenyekiti hivi wakipewa shilingi ngapi na CHADEMA mpaka wakaunga juhudi?
Mkuu uoni kumuandama sana Bw Mbowe huku wewe ukitokea CCM tawala chenye kila aina ya silaha lukuki ni kama unaogopa kivuli chake?
Hatusemi Mh.Mbowe ni malaika,lakini hiyo sekeseke aliopata toka mjomba Magu akalie kiti cha enzi si ndio mmezidi kumuongezea pointi?
Kabomolewa Bilcanas club yake,hadi leo haijajengwa chochote ili kumkomoa,kaharibiwa mazao shambani kwake kisa DC anatafuta URC,kakaa gerezani vipindi vingi tu kwa tuhuma ya uchochezi,kila siku yupo mahakamani hadi amegeuka sugu wa kesi za kisiasa. Mikutano yake mara nyingi imezuiwa hata press conference nazo wanamzuia.Kama haitoshi hata huko bungeni hoja zake zimetupwa kapuni na spika.
Nakushangaa sana wewe kuendekeza ubaguzi wa wazi kwa binadamu mwenzio kuliko hata kaburu wa Africa Kusini.Au unalipwa kujitoa ufahamu?Kumbuka kuna kesho na kuna Mungu.
Siasa sio vita ni nguvu ya hoja.
Ushauri huo kampe meko na bashiru,membe tu kawatoa puru mpka mmemfukuza ili asimpinge.ccm inaendesha na mtu mmoja hakuna kupingwa au kukosolewaMimi yangu macho maana mtu kama kiongozi wa chama chenye ushindan huwezi kuamini siasa za kwenye mitandao ukaacha siasa za kijumuia baada ya kuona nyuzi nyingi zimeanzishwa zikiwasema vibaya wale wabunge walioenda bungeni kua wamenunuliwa na CCM.
Nikachoka kabisa nikasema kwa hiyo Mbowe kama kiongozi anashindwa kulimaliza ili tatizo na wabunge wake kwa kuzungumza nao kutaka ku-solve hii ishu kidiplomasia kaamua awatimue kisa tu wameenda tofauti na maagizo yake nikaona hapa kuna tatizo kiongozi kama Mbowe hataki kufanya maamuzi ya busara kisa tu atachekwa na CCM na kina kigogo wanaomuongoza kwenye mitandao nikasema basi CHADEMA tuwaombee
Nimeona uzi vijana wa Ufipa wamezianzisha na kusema kuwa jana walikuwa Lumumba wamebahatika kuona malipo ya hao wabunge na posho zao nikasema kweli wajinga ndio waliwao. CCM ipange kununua watu kama kweli inanunua halafu mambo yawe wazi hivyo nikaona hii mfa maji tu haishi kutapa tapa
CHADEMA ifikie hatua na chama chenu muwe mnakisimamia ipasavyo bila hivyo msije kumlaumu mtu
Halafu asilimia kubwa ya viongozi wa CHADEMA sio wazawa wa chama hata mwenyekiti hivi wakipewa shilingi ngapi na CHADEMA mpaka wakaunga juhudi?
Tumekusikia mama janeeeeeeMbowe arudie kupiga santuri tu baada ya October hatapata mbunge hata mmoja
utapata faida gani
pumbavu sana
Hivi Mbowe akikosa Uenyekiti ATAKUFA????? Au itakuwa mwisho wa Dunia. Kwanini wapinzani wa CDM hawataki Mbowe awe Mwenyekiti?? Anaejua plz aniambie/ anielimisheMimi yangu macho maana mtu kama kiongozi wa chama chenye ushindan huwezi kuamini siasa za kwenye mitandao ukaacha siasa za kijumuia baada ya kuona nyuzi nyingi zimeanzishwa zikiwasema vibaya wale wabunge walioenda bungeni kua wamenunuliwa na CCM.
Nikachoka kabisa nikasema kwa hiyo Mbowe kama kiongozi anashindwa kulimaliza ili tatizo na wabunge wake kwa kuzungumza nao kutaka ku-solve hii ishu kidiplomasia kaamua awatimue kisa tu wameenda tofauti na maagizo yake nikaona hapa kuna tatizo kiongozi kama Mbowe hataki kufanya maamuzi ya busara kisa tu atachekwa na CCM na kina kigogo wanaomuongoza kwenye mitandao nikasema basi CHADEMA tuwaombee
Nimeona uzi vijana wa Ufipa wamezianzisha na kusema kuwa jana walikuwa Lumumba wamebahatika kuona malipo ya hao wabunge na posho zao nikasema kweli wajinga ndio waliwao. CCM ipange kununua watu kama kweli inanunua halafu mambo yawe wazi hivyo nikaona hii mfa maji tu haishi kutapa tapa
CHADEMA ifikie hatua na chama chenu muwe mnakisimamia ipasavyo bila hivyo msije kumlaumu mtu
Halafu asilimia kubwa ya viongozi wa CHADEMA sio wazawa wa chama hata mwenyekiti hivi wakipewa shilingi ngapi na CHADEMA mpaka wakaunga juhudi?
Hizo ni porojo tuu, tume haipigi kura wanapiga watu. Nakufahamisha hata tungepiga kura kwa kujipanga nyuma ya mgombea mtalalamika ila ukweli ni kuwa, sisi wapiga kura kwasasa hatuwaelewi.Tume Huru ndiyo dawa yenu..uhuni uhuni hatutaki safari hii.