Mbowe ndio Amebeba Idea ya CDM, kama ilivyo Odinga, Malema, Tsvangirai(RIP) na wengine wengi.

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Mbowe ndio amebeba Idea ya CDM, kama ilivyo kwa Raial Odinga kwa ODM au Malema kwa EFF, au ilivyo kuwa kwa Morgan Tsvangirai na mfano mzuri ni huyu mwamba alie mpelekesha vilivyo Mugabe na Baada ya kufa Chama chake kimepotea kabisa.

Uzidhanie Raial Odinga akiondoka pale ODM itabakua na nguvu zile na hio ndio hofu kuu kwa sababu Raiala ndio Mbeba maono yao na hayajatimia.

CCM ni nyerere alibeba Idea ya CCM na baada ya Idea kutimia ya kuchukua Uhuru miaka ya 80 akaondoka.

Ni ujinga kutaka eti Mbowe aachie ngazi hawesi achia ngazi jwa sababu Idea ya CDM bado haijatimia na ataacgia ikitimia.

Kule Kenya vyama vya wakina Raila vinafanya uchaguzi kila wakati ila sijawahi sikia wana ODM wenyewe wakitaka Raila aachie ngazi na yupo ple tangu enzi za Moi, sana sana wapinzani nje ya ODM ndio huwa wanaanzisha hizo Maada.

Huku Bongo ni CCM ndio wanataka Mbowe aachie ngazi ila sio CDM wenyewe.

CCM kwenyenyewe waulize huyo mwenyekiti wao huwa ana Compete na nani? si kuna full Democrasia? nafasi ya Mwenyekiti inagombewa na watu wa ngapi?

Mbowe hawezi kaa pembeni hadi ndoto za CDM zitimie za kuwaindoa wakolon weusi wanao fanya nchi iwe masikini kwa hadaaa za kijinga.
 
Chadema mnazidi kujiteketeza wenyewe kwa kupingana na ukweli ....ambao upo wazi kuwa mbowe na ccm hakuna wa kuwa amini isipokuwa wanafiki na wahuni wachache ....mkitaka chama kife basi endeleeni kusifia giza kuwa ni mwanga
 
Mbowe ndio amebeba Idea ya CDM, kama ilivyo kwa Raial Odinga kwa ODM au Malema kwa EFF, au ilivyo kuwa kwa Morgan Tsvangirai na mfano mzuri ni huyu mwamba alie mpelekesha vilivyo Mugabe na Baada ya kufa Chama chake kimepotea kabisa.

Uzidhanie Raial Odinga akiondoka pale ODM itabakua na nguvu zile na hio ndio hofu kuu kwa sababu Raiala ndio Mbeba maono yao na hayajatimia.

CCM ni nyerere alibeba Idea ya CCM na baada ya Idea kutimia ya kuchukua Uhuru miaka ya 80 akaondoka.

Ni ujinga kutaka eti Mbowe aachie ngazi hawesi achia ngazi jwa sababu Idea ya CDM bado haijatimia na ataacgia ikitimia.

Kule Kenya vyama vya wakina Raila vinafanya uchaguzi kila wakati ila sijawahi sikia wana ODM wenyewe wakitaka Raila aachie ngazi na yupo ple tangu enzi za Moi, sana sana wapinzani nje ya ODM ndio huwa wanaanzisha hizo Maada.

Huku Bongo ni CCM ndio wanataka Mbowe aachie ngazi ila sio CDM wenyewe.

CCM kwenyenyewe waulize huyo mwenyekiti wao huwa ana Compete na nani? si kuna full Democrasia? nafasi ya Mwenyekiti inagombewa na watu wa ngapi?

Mbowe hawezi kaa pembeni hadi ndoto za CDM zitimie za kuwaindoa wakolon weusi wanao fanya nchi iwe masikini kwa hadaaa za kijinga.
your thinking
 
Back
Top Bottom