Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 7,072
- 7,891
muhuni magu mtoeWanasiasa (kasoro Nyerere na Magufuli) wapo pale kwa masilahi yao binafsi, siyo ya wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muhuni magu mtoeWanasiasa (kasoro Nyerere na Magufuli) wapo pale kwa masilahi yao binafsi, siyo ya wananchi.
Heshima ya Bunge kwishnei. Wanamtesa mama wa watu anataka kuiweka nchi kwenye msitariKile kitendo cha kubadili ule msimamo wao mkali wa kutojihusisha na kuchangamana na wabunge au viongozi waliopatikana kutokana na uchaguzi 2020 ambao waliutambua kama batili, na ile ya mbowe kusema hawezi kwenda ikulu pekeake kama anakwenda kuchumbia kisha ghalfa akaenda huku akitabasamu, ilipaswa kuwashitua kwenye usingizi wao mzito.
Hili sakata la wabunge litawasumbua hivihivi mpaka huu mhula wa kiuongozi unaisha.
Wewe ni muhuni!.Hizi pilika zote za namna ya kuwalinda hao wasaliti ,Rais Samia ameshakuwa informed, Rais Samia hataki maridhiano, Rais Samia hajiamini na ni muoga sana akiifikiria 2025.
So, CDM wala wasihangaike tena na huyo Mama ni mnafiki na ni mtu anayepelekeshwa pelekeshwa na wenye system.
Hakuna mahala maridhiano na shetani yakafanikiwa, NEVER.!