CHADEMA haijawahi kuwa na DEMOKRASIA ndani mwake kww sababu za udikteta wa Mbowe, na hivyo Wananchi wasitegeee CHADEMA kudumisha DEMOKRASIA pindi watakapo pata madaraka.
Sio hivyo tu, CHADEMA inategemea kupata madaraka kwa njia za fujo.
Na hizo fujo keshatangaza Mbowe na ameanza Kutengeneza njia hizo tayarai kwa kuanza kampeni na propaganda kuwa CCM imeanza mchakato wa kuiba kura 2024-2025
Hivi sasa CHADEMA kazi yake iliyobaki nayo ni kutukana Wananchi kama utakavyoona pindi wakiingia hapa kuja kumtetea nak usambaza uongo kuwa Kura zitaibiwa kwenye uchaguzi mkuu..