Mbowe ni kipi ambacho hajakamilisha, kwanini bado Mwenyekiti?

unamuogopaje au kuteseka na mtu asie na madhara kwa lolote kwa asali kidogo tu na labda konyagi kubwa moja anatulia vizuri aise [emoji205]

nguvu kubwa anaitumia puppet na kundi lake, sema mwamba ukaskazini unamsaidia kumlinda [emoji205]
Sasa si mfurahi kuwa mmepata mpinzani dhaifu? Mbona CCM ndo nyie mnataka mwamba aondoke? Ili iwe nini labda?
 
Sasa si mfurahi kuwa mmepata mpinzani dhaifu? Mbona CCM ndo nyie mnataka mwamba aondoke? Ili iwe nini labda?
mie sidhani kama kuna mtu ana shida sana na huyo muungwana MBOWE๐Ÿ’

kwasabb yeye ni ka mutu kamoja tu kasiko na madhara yeyote, ispokua kudhoofisha demokrasia anayoibubiri kutwa kuchwa na yeye anaikanyaga, hiyo, ni hatari kwa ustawi wa Taasisi imara yenye malengo na inayoweza kujitegemea ๐Ÿ’

watu wanapenda Damokrasia ni sio kitu ingine ya porojo na mastori ya town ambayo ni useless ๐Ÿ’
 
Unatia huruma sana.
Lakini Muda utafika tuu akili itarudi
 
Abakusanyq mtaji baada ya ya kukamilisha ujenzi wa kasri lake kule machame.Utashangaa wale misukule watakuwmbia Mzee mbowe ni milionea ,hivi kweli milionea anajenga nyumba yake ya kusihi ukiwa na zaidi ya miaka sitini?
 
Mwenyekiti wa Chama chochote kikubwa ni lazima awe na nguvu zote including Pesa !
Ndio maana unaona Chama tawala Mwenyekiti wake ni Mkuu wa Nchi !
๐Ÿ˜…๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Tangu zamani na siku zote iko vile ๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Hivi kuwa mwenyekiti au inakukera nini!
Tuachie sie CHADEMA wewe nenda ktk li-chama lako la shetani!
 
Anataka kuandika historia ya mwenyekiti wa kwanza Chadema kufia madarakani
 
Nape kathibitisha jinsi ccm inavyoiba kura na yeye akiwa engineer wa huo wizi
So acha kumsingizia mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ