Hatuishi kwa maagizo batiliAgizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na
1. Waziri mkuu
2. Rais
3. Waziri wa afya
4. Madaktari.
Kwanini mkuu hebu fungukaSamia hana nia ya dhati kabisa kupambana na corona ukiangalia mienendo yake