zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hauendani na username yako...... This is the dumbest comment ever. "Ruzuku" inaingiaje wakati Mama keshakiri corona ipo na yupo tayari kutoa takwimu WHO?Ndivyo vinavyowaingizia ruzuku sasa hivi au haufahamu mkuu hilo? Fuatilia utabaini kibindo mficho kina mambo
Ugonjwa huu si sawa na ukimwi ambao mtu unaweza kujipanga kutougua.
Kuchanjwa kachanjwa Freeman. Alikwambia familia yote imechanjwa? Kuchanjwa dhidi ya ugonjwa hakuna maana ya kutokuugua.
Katika jamii ambayo haichukui tahadhari hayupo aliye salama.
Hizo ni miongoni mean dua mbaya kwa watu wema.kutoka kwa walio amini katika propaganda umizi na zilizoficha taarifa muhimu kwa manufaa ya kisiasa. Na sasa viashiria vya mienendo ile vinaaza kuchipua miongoni miongoni mwa Wana mbogamboga. Tiba pekee ya maginjwa haya, katiba mpya mizizi ikiwa ni ile ya mzee mzalendo Jaji mstaafu Warioba.Ambao hawakuamini mbona ndiyo wanakufa sasa! katika watu wote The Mbowe’s wanapaswa kuwa exceptional kufa kwa Corona ukizingatia wamefuata taratibu zote za kisayansi kujikinga,mbona sasa inakuwa kinyume chake.
Nilitarajia familia nzima ya Mbowe wawe wameshachanjwa,na sisi wengine tungejifunza kupitia kwao,kama alichanjwa M/Kiti peke yake ndani ya familia na wengine wamebaki “hawachukui tahadhari” kama sisi wengine basi kuna tatizo kubwa sana.
Charles mbowe hakuchanjwa?Wengi tunaisubiri chanjo hapa. Hatuna haja ya kuwapa biashara mabeberu kwenye madege kufuata chanjo huko.
Mheshimiwa ana biashara zake huko. Sekeseke la mtu pori enzi zake za kutaka wengine kuishi kama mashetani ila yeye?
Charles mbowe hakuchanjwa?
Haulazimiki kujibu kama unaona username yangu haiendani na miye kwani ndio utanibadilisha?Hauendani na username yako...... This is the dumbest comment ever. "Ruzuku" inaingiaje wakati Mama keshakiri corona ipo na yupo tayari kutoa takwimu WHO
Chanjo Tanzania Ni lazima au hiari tuanzie hapo.Nilitarajia familia nzima ya Mbowe wawe wameshachanjwa,na sisi wengine tungejifunza kupitia kwao,kama alichanjwa M/Kiti peke yake ndani ya familia na wengine wamebaki “hawachukui tahadhari” kama sisi wengine basi kuna tatizo kubwa sana.
Yaani kutadhalisha watu wasije wengi kuzika kwa marehem kufa kwa Corona ni kutumia kifo kisiasa siyo. Ndiyo tatizo la kuwa na ubongo ulio mapoozaUngekuwa mwanasiasa ndio ungeona U special wa kutumia hicho kifo kisiasa.
Mkuu mbona unaishi maisha magumu sana kiasi hiki? Ukichukia Mbowe kutangaza sababu ya kifo cha kaka yake utakuwa waishi maisha yasiyo na furaha kabisa hapa duniani.Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona!
Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona?
Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na
1. Waziri mkuu
2. Rais
3. Waziri wa afya
4. Madaktari
Je, Mbowe ni nani kati ya hao?
Licha ya hivyo Mbowe haaminiki mbele ya uma wa Tanzania tokea siku ile alipoangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia kuwa amepigwa na wasiojulikana ili tu apate kiki kisiasa.
View attachment 1846603
Kaka wa marehemuNimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona!
Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona?
Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na
1. Waziri mkuu
2. Rais
3. Waziri wa afya
4. Madaktari
Je, Mbowe ni nani kati ya hao?
Licha ya hivyo Mbowe haaminiki mbele ya uma wa Tanzania tokea siku ile alipoangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia kuwa amepigwa na wasiojulikana ili tu apate kiki kisiasa.
View attachment 1846603
Kwahiyo siku izi haupigi mwingi tenaaSamia hana nia ya dhati kabisa kupambana na corona ukiangalia mienendo yake
Yaani unakusanya watu morogoro na kuwaambia wasikusanyike?
Kama ni ujinga basi huu ni ujinga kiwango cha PhD