imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wana haki ya kusema kuwa sisi ni Saccos ya mtu fulani au Jamii fulani na wana HOJA.Mbowe amesema kwamba: "Nikiona chama changu kinazama, nitaingia mzigoni".
Tafsiri yake: Bila yeye (Mbowe) hakuna Chadema imara. Hicho Ni chama cha Mbowe; kwa hiyo, si chama kama taasisi Bali ni chama cha kutegemea nguvu ya mtu. Hii Ni hatari Sana.
Tanbihi: mpaka hapo siwapingi wanaosema Chadema Ni Saccoss ya mtu, wengine wanasema Ni Saccoss ya wachaga.