TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Focus focusMiaka 63 ni Mzee? Samia ana miaka mingapi?
Usihamishe magoli
Kama Unataka kumjadili samia anaishi Uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Focus focusMiaka 63 ni Mzee? Samia ana miaka mingapi?
Focus focus
Usihamishe magoli
Kama Unataka kumjadili samia anaishi Uzi
aache hayo maneno isije ikawa kama utopwinyo kutaka kucheza na malaika sasa yanawakuta, chadema inavichwa vya maana kwanza kawachelewesha miaka yote hiyo chadema ingekuwa mbali kisiasa na kushika dola, astaafu kwa heshimaMwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa CHADEMA. Je nani anataka kugombea uenyekiti akizamishe chama.
Kwa kauli hii ya Mbowe Ina maana atagombea uenyekiti. Nadhani Mbowe anafikiri yeye tu ndio mwenye uwezo wa kuisimamisha CHADEMA. Wengine wataizamisha
Muacheni na saccos yake.Mbowe anaiona CHADEMA kama Mali yake binafsi.
Well said,na hili linakwenda kukizamusha kabsa hiki chama,hususan ktk uchaguzi ujaoNilikuwa natamani sana CCM kitoke madarakani na nilikuwa nadhani CHADEMA wana nia ya dhati ya kuitoa lakini kwa tanayoendelea kwenye chama nafikiri hata jina la chama libadilike. Huwezi ukatuaminisha ni chama cha demokrasia wakati akijitokeza mtu mwingine kugombea anaonekana ni haini ndani ya chama.
Nilitamani sana mwenyekiti Mbowe aachie watu wengine wakiongoze chama maana Mbowe kazoeleka mno tunahitaji watu wengine ambao sio ma puppet ambapo kwa kweli Lissu hata kama utamuua lakini sidhani kama anaweza kuitumikia Ccm.
Dhana ya chama cha wachagga nadhani inaenda kudhihirika rasmi na kufanyiwa figisu kwa Lissu kutapunguza sana wanachama na wapenzi wa Chadema.
Hakika nmemkumbuka Bi.Kirembwe wa daima dawamuAtaishi milele na milele ,Amina
eti chama chakeMuacheni na saccos yake.
kasema ataingia mzigoniaache hayo maneno isije ikawa kama utopwinyo kutaka kucheza na malaika sasa yanawakuta, chadema inavichwa vya maana kwanza kawachelewesha miaka yote hiyo chadema ingekuwa mbali kisiasa na kushika dola, astaafu kwa heshima
Kama chama kikizama yeye atakuwa mtu kwa kwanza kulaumiwa, so awe makini kuona ni nani anaweza kuwa mwenyekiti atakayekisogeza chama mbele.Mwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa CHADEMA. Je nani anataka kugombea uenyekiti akizamishe chama.
Kwa kauli hii ya Mbowe Ina maana atagombea uenyekiti. Nadhani Mbowe anafikiri yeye tu ndio mwenye uwezo wa kuisimamisha CHADEMA. Wengine wataizamisha
Anafanya chama kama chake binafsi,apishe wengine waongoze…Hivi watu dizaini hii ndio kweli tuje tuwape nchi yetu?Mwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa CHADEMA. Je nani anataka kugombea uenyekiti akizamishe chama.
Kwa kauli hii ya Mbowe Ina maana atagombea uenyekiti. Nadhani Mbowe anafikiri yeye tu ndio mwenye uwezo wa kuisimamisha CHADEMA. Wengine wataizamisha
cha ajabu nyumbu watampa kuraMbowe anaiona CHADEMA kama Mali yake binafsi.
Kwani uzee unaanzia miaka mingapi ?Mbowe ni Mzee?
katoa kauli iliyojaa kiburi kuwa chadema ni mali yake, cha ajabu nyumbu watampa kura ili waendelee kulambalamba sahaniManeno yanayoonesha kuwa yeye ndiye mmiliki wa chadema.
na aongoze mpaka afie madarakaniAitwe mwenyekiti wa kudumu wa chadema.
inawezekana ikawa hivyo. Ujerumani kuna mtu kaanzisha chama cha siasa kinaitwa jina lake. Labda tumuongezee majina achague. Mbowe alliance party, congress party of mbowe, mbowe democratic party of tanzania, majina ni mengi ni bora ajimilikishe chama tu ijulikane ni mali yakeChadema ibadilishwe jina, iitwe Mbowe Saccos
inasikitisha kwa kweli. Act wazalendo wajiandae kupata wabunge wawili watatu pahala pa chadema, chadema ndio basi tena kama mbowe ataendelea kuwa mwenyekitiHili kwa sasa liko wazi, CDM itabaki sana sana Uchagani, na Mboyee akishinda tutegemee by 2035 CDM ikiwa Hoi na CCM ikijiimarisha zaidi.
I second this!
ametoa kauli mbaya sana hivi ingetokea mwana ccm mstaafu atamke kuwa akiona chama chake kinazama ataingia mzigoni ataeleweka vipi? Huo ni uhainiAma kweli CHADEMA ni chama cha Mbowe na CCM ni Chama cha Wananchi!