Pre GE2025 Mbowe: Nikiona chama changu kinaenda kuzamishwa, Kamanda naingia mzigoni

Pre GE2025 Mbowe: Nikiona chama changu kinaenda kuzamishwa, Kamanda naingia mzigoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Litakuwa ni kosa la mwaka la Mbowe kuachia madaraka ya uwenyekiti kwa sababu tu ya kuwafurahisha baadhi ya watu.
 
Tukiwaambia CHADEMA ni mali binafsi ya familia ya Mbowe aliyorithishwa na mkwewe mnaona tunasema uongo. Lissu na wenzake wakaanzishe chama chao na sio kutaka kuwavuruga wachaga.
 
Mwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa CHADEMA. Je nani anataka kugombea uenyekiti akizamishe chama.

Kwa kauli hii ya Mbowe Ina maana atagombea uenyekiti. Nadhani Mbowe anafikiri yeye tu ndio mwenye uwezo wa kuisimamisha CHPUNGUADEMA. Wengine wataizamisha
IPO HIVI. TUNACHOOGOPA NI MWENYEKITI MTEULE KUAMUA KUUNGA JUHUDI KAMA MSIGWA.
MBOYE PAMOJA NA MAPUNGUFU YOTE NA KUFUNGWA JELA HAJAWAHI KUSALITI CDM KWA MIAKA 30
 
Ndio ukweli ,embu jiulize chama kama chadema kupewa nchi ?
Kwa hiyo huu upuuzi unaofànywa ña CCM kwa miaka zaidi ya 63 wa kulea umaskini na kuzalisha ujinga ndio mnajivunia!
 
Hili kwa sasa liko wazi, CDM itabaki sana sana Uchagani, na Mboyee akishinda tutegemee by 2035 CDM ikiwa Hoi na CCM ikijiimarisha zaidi.

I second this!
Usiitaje ccm tunapoongelea mambo ya siasa, maana ccm sio chama cha siasa, bali kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa.
 
Mwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa CHADEMA. Je nani anataka kugombea uenyekiti akizamishe chama.

Kwa kauli hii ya Mbowe Ina maana atagombea uenyekiti. Nadhani Mbowe anafikiri yeye tu ndio mwenye uwezo wa kuisimamisha CHADEMA. Wengine wataizamisha
Ni Cha kwao binafsi, familia ya Mzee Mtei na Mbowe zingatia Chama changu
 
Haahaa mwenyekiti mbowe mjanja Sana, wakati wa uchaguzi anaweka watu wake mikoani na wilayani, Kisha muda wa uchaguzi mkuu anawatengeneza wamfuate kumuomba kugombea uwenyekiti, usanii mtupu.Eti miaka 20 ya kukomaa😂
 
Hili kwa sasa liko wazi, CDM itabaki sana sana Uchagani, na Mboyee akishinda tutegemee by 2035 CDM ikiwa Hoi na CCM ikijiimarisha zaidi.

I second this!
Hii hoja wanaambiwa hawaamini, lakini ndo ukweli
 
Mwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa CHADEMA. Je nani anataka kugombea uenyekiti akizamishe chama.

Kwa kauli hii ya Mbowe Ina maana atagombea uenyekiti. Nadhani Mbowe anafikiri yeye tu ndio mwenye uwezo wa kuisimamisha CHADEMA. Wengine wataizamisha
Mbowe akigombea tena watu wengi wataanza kuamini matusi ya maccm kuwa cdm ni mali yake.
 
Back
Top Bottom