Pre GE2025 Mbowe: Nikiona chama changu kinaenda kuzamishwa, Kamanda naingia mzigoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa CHADEMA. Je nani anataka kugombea uenyekiti akizamishe chama.

Kwa kauli hii ya Mbowe Ina maana atagombea uenyekiti. Nadhani Mbowe anafikiri yeye tu ndio mwenye uwezo wa kuisimamisha CHADEMA. Wengine wataizamisha
Ataishi milele na milele ,Amina
 
Ama kweli CHADEMA ni chama cha Mbowe na CCM ni Chama cha Wananchi!
 
Mwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa CHADEMA. Je nani anataka kugombea uenyekiti akizamishe chama.

Kwa kauli hii ya Mbowe Ina maana atagombea uenyekiti. Nadhani Mbowe anafikiri yeye tu ndio mwenye uwezo wa kuisimamisha CHADEMA. Wengine wataizamisha
Yupo sahihi kabisa, hakuna anayeijua CDM na mwenye uzalendo kwa CHAMA kama Freeman Mbowe.
 
Mwamba nimemsoma hagombei kwa sasa. Atakua bega kwa bega na watu wake akiona hakieleweki ana rudi mwenyewe
 
Yupo sahihi kabisa, hakuna anayeijua CDM na mwenye uzalendo kwa CHAMA kama Freeman Mbowe.
Hamna kitu kama hicho ina maana bila Mbowe Chadema haiwezi kuwepo. Tuacheni demokrasia ichukue nafasi Lissu angekuwa hana uzalenda kwa chama asingeweza kuyaacha mamilioni ya Abdul, Lissu anaweza akawa na madhaifu mengine lakini si hili la uzalendo kwa chama
 
Mwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa CHADEMA. Je nani anataka kugombea uenyekiti akizamishe chama.

Kwa kauli hii ya Mbowe Ina maana atagombea uenyekiti. Nadhani Mbowe anafikiri yeye tu ndio mwenye uwezo wa kuisimamisha CHADEMA. Wengine wataizamisha
Kuingia mzigoni inawezekana ni kueliminate wanaotaka kukizamisha💀
 
Kama una A mbili na sio D mbili utagundua kuwa akili za watu wote wanaimba chadema na hiyo ndo point muhimu..
Wala hakuna Lolote la Mbowe wala Lisu.. Chadema ni moja .
 
Mimi sio mwanachama wa chama cha siasa ila kwa jicho langu langu pevu,nasema ni muda wa mbowe kuachia madaraka.
 
Hili ndio tatizo la upinzani nchi hii , kuna watu wapuuzi ni undercover humo , wanatumika kuharibu juhudi za mageuzi ya kisiasa nchi hii
Ndio maana tunawambia mtimueni Mbowe hamtuelewi kabisa🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Mwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa CHADEMA. Je nani anataka kugombea uenyekiti akizamishe chama.

Kwa kauli hii ya Mbowe Ina maana atagombea uenyekiti. Nadhani Mbowe anafikiri yeye tu ndio mwenye uwezo wa kuisimamisha CHADEMA. Wengine wataizamisha

View: https://x.com/swahilitimes/status/1869366126133538953?t=svmoPKDXzz1HpcjzHOYyOQ&s=19
 
Back
Top Bottom