Wana haki ya kusema kuwa sisi ni Saccos ya mtu fulani au Jamii fulani na wana HOJA.Mbowe amesema kwamba: "Nikiona chama changu kinazama, nitaingia mzigoni".
Tafsiri yake: Bila yeye (Mbowe) hakuna Chadema imara. Hicho Ni chama cha Mbowe; kwa hiyo, si chama kama taasisi Bali ni chama cha kutegemea nguvu ya mtu. Hii Ni hatari Sana.
Tanbihi: mpaka hapo siwapingi wanaosema Chadema Ni Saccoss ya mtu, wengine wanasema Ni Saccoss ya wachaga.
na wale nyumbu walioenda nyumba nyumbani kwake kumshawishi agombee nao atabaki nao kwenye hiyo mbowe succos partySasa hivi watakaobaki na CHADEMA ni wale ambao wana Maslahi nayo, Sikiliza Speech ya Boniphace Jacob mbele ya Mbowe, Hapo ndipo utaona sura halisi ya CHADEMA, Kisha mtazame tena Kigaila!
wanasiasa wamekuwa wa hovyo sana, hawaaminikiItafika mahala sisi wananchi tujipiganie bila kutegemea Wanasiasa!
mbowe democratic party of tanzania. Anasema akiona chama chake kinazamishwa anaingia mzigoni!Na jina libadikishwe, kiitwe chama cha Mbowe na familia yake
Neno democratic liondoke badala yake tuweke "family" au "personal "mbowe democratic party of tanzania. Anasema akiona chama chake kinazamishwa anaingia mzigoni!
Vyama ndivyo vilivyo !Siasa safi ndivyo zilivyo !!
Haahaa weee, mbowe weka mbali na ikuluNi Idea ya kipuuzi, sasa huyu Mtu akijakuwa Raisi wa Jamhuri wa Muungano si atabadilisha Katiba ili kuondoa ukomo wa uongozi ili mpaka afie Ikulu?!
Haahaa kweli kina kagame Wana wafuasi piaLitakuwa ni kosa la mwaka la Mbowe kuachia madaraka ya uwenyekiti kwa sababu tu ya kuwafurahisha baadhi ya watu.
Haahaa wasiomjua ndo hivo, mzee anaamini yeye kazaliwa kuwa mwenyekiti, Siku lipumba, mbowe, cheyo, mzee wa ubwabwa watakapokaa pembeni, upinzania utakuwa umefufukaAkiona chama chake kinazamishwa kamanda anaingia mzigoni, hiyo kauli inaashiria atagombea tena
Ccm watajipangia aina ya ushindi watautakao😂😂Mbowe akirudi na lipumba wa cuf karudi, hawa wote waliwahi kugombea urais wakaangukia pua, sasa uchaguzi ujao wataambulia nini kama si kuipa ccm ushindi mnono?
Haahaa Yaani, kinazamishwa vipi?wapiga kura wameamua?mbowe democratic party of tanzania. Anasema akiona chama chake kinazamishwa anaingia mzigoni!
Huo ni ukweli...Lilisikika JITUBANDIA MOJA HIVI likiyasema haya....👇View attachment 3180401
hawa ni kuwaadhibu vibaya kwenye sanduku la kura kwa kuipa ccm kura nyingi ipate ushindi mnono, ushindi wa kimbunga na mafuriko. Wapinzani tuwasahau, wakajifunze na washike adabu kwa wananchi waliowaamini halafu wao wanaleta ushenzi, hii haikubalikiHaahaa wasiomjua ndo hivo, mzee anaamini yeye kazaliwa kuwa mwenyekiti, Siku lipumba, mbowe, cheyo, mzee wa ubwabwa watakapokaa pembeni, upinzania utakuwa umefufuka
Ccm nayo ni mapumbavu tu hayana maana ila bora yatuletee tu mgombea wa urais mwanaume mwakani, Chadema huenda isiwe na matumaini tena kama haitalimaliza suala la uchaguzi wa mwenyekiti kwa busara.hawa ni kuwaadhibu vibaya kwenye sanduku la kura kwa kuipa ccm kura nyingi ipate ushindi mnono, ushindi wa kimbunga na mafuriko. Wapinzani tuwasahau, wakajifunze na washike adabu kwa wananchi waliowaamini halafu wao wanaleta ushenzi, hii haikubaliki