Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe amesema siku moja kabla hajatoka Gerezani, Maaskofu watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye

Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?

Jumaa Mubarak 😂

Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amesema siku Moja kabla hajatoka Gerezani maaskofu Watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye

Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?

Jumaa Mubarak 😂
After kukutana nae, alitoka amebadilika bot the same mbowe
Nini kilimkuta? Na deals alizoingia huko why hajawa tamka mpaka leo?
Aliingia deals kwa ajili ya chama au kwa ajili yake?
 
Kwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
Hao ndio wenye watu
Wakristo wana madhehebu matatu yenye mamilioni ya waumini na wapiga kura

Madhehebu hayo ni katoliki ,protestant na walokole

Waislamu dhebu kubwa lenye mamilioni ya waumini ni Bakwata tu iliyo chini ya Mufti hao wengine wachache sana wakiwemo hao Answar suna ni wachache mno

Uongozi hasa ni majority ndio huweka serikali madarakani sio minority

Bakwata ni majority kwenye dini ya uislamu Tanzania hao wengine akina Answar Sunna wanajiita Baraza kuu hamna kitu na kiofisi chao uchwara pale magomeni ugaidi tu
 
Hao ndio wenye watu
Wakristo wana madhehebu matatu yenye mamilioni ya waumini na wapiga kura

Madhehebu hayo ni katoliki ,protestant na walokole

Waislamu dhebu kubwa lenye mamilioni ya waumini ni Bakwata tu iliyo chini ya Mufti hao wengine wachache sana wakiwemi hai Answar suna ni wachache mno

Uongozi hasa ni majority ndio huweka serikali madarakani sio minority

Bakwata ni majority kwenye dini ya uislamu Tanzania hao wengine akina Answar Sunna wanajiita Baraza kuu hamna kitu na kiofisi chao uchwara pale magomeni ugaidi tu
😂😂😂
 
Back
Top Bottom