johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
After kukutana nae, alitoka amebadilika bot the same mboweMwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amesema siku Moja kabla hajatoka Gerezani maaskofu Watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye
Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?
Jumaa Mubarak 😂
Kuongea ni rahisi sanawali-bargain ningekuwa Mimi mbowe ningejibu afute ila kuonana nae mpaka nikakae kwanza na kamati kuu
Ubaguzi wa kidini, anawachukuliaje ndugu katika imaniKwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
TEC, CCT, Pentecostal and BakwataKwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
Kuishi gerezani siyo sifa 😂😂Lissu hajawahi kuishi gerezani hata nusu saa.
Kwa hiyo, hajui machungu ya gerezani.
Leo Slaa kadakwa usiku,Lissu ,kakimbia hajulikani aliko,sebuse gerezani?
Swali la kijinga sana, kamuulize aliyewatuma mama AbdulKwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
Hao ndio wenye watuKwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
Acha ujinga ww mpuuzi kati ya hao nani ameishapigwa risasi hata moja kama Lissu ? Ww unafikiri kwenda jela ni sifa? Acha upimbi....Lissu hajawahi kuishi gerezani hata nusu saa.
Kwa hiyo, hajui machungu ya gerezani.
Leo Slaa kadakwa usiku,Lissu ,kakimbia hajulikani aliko,sebuse gerezani?
😂😂😂Hao ndio wenye watu
Wakristo wana madhehebu matatu yenye mamilioni ya waumini na wapiga kura
Madhehebu hayo ni katoliki ,protestant na walokole
Waislamu dhebu kubwa lenye mamilioni ya waumini ni Bakwata tu iliyo chini ya Mufti hao wengine wachache sana wakiwemi hai Answar suna ni wachache mno
Uongozi hasa ni majority ndio huweka serikali madarakani sio minority
Bakwata ni majority kwenye dini ya uislamu Tanzania hao wengine akina Answar Sunna wanajiita Baraza kuu hamna kitu na kiofisi chao uchwara pale magomeni ugaidi tu