ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Narudia kujificha kwenye kauli hakuna tija, hizi ni zama za ukweli na uwaziSoma nakuelewa nilicho andika, kauli vs maendeleo?
Changamoto husababishwa na uwezo mdogo wa kutafsiri taarifa
Uwazi gani hapo, inawezekana hujui maana ya kujipendekeza, I might be urging with a foolNarudia kujificha kwenye kauli hakuna tija, hizi ni zama za ukweli na uwazi
Kujipendekeza useme wewe lawama unipe mimiUwazi gani hapo, inawezekana hujui maana ya kujipendekeza, I might be urging with a fool
Ndiyo maana nimekwambia soma na kuelewa binadamu ana akili sana ila pia ni mvivu wa kufikiriKujipendekeza useme wewe lawama unipe mimi
Lete hoja yako acha mipashoNdiyo maana nimekwambia soma na kuelewa binadamu ana akili sana ila pia ni mvivu wa kufikiri
Huja soma na kuelewa nilicho andika nenda kakojoe , instead you decide to insult meLete hoja yako acha mipasho
Akina Nelson Maendela wangekuwa na akili kama zako yamkini leo asingeitwa shujaa.kwa mazingira ya maisha ya gerezani hata ingekuwa mimi ningekubsli jamaniiii .
Badala ya kuleta hoja unaendelea na mipasho, Utakapo kuwa na hoja za msingi utaleta kujibiwaHuja soma na kuelewa nilicho andika nenda kakojoe , instead you decide to insult me
Tatizo ni kusaliti mapambano.Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe amesema siku moja kabla hajatoka Gerezani, Maaskofu watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye
Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?
Jumaa Mubarak π
Hahaha lazima unyweee cyokwa mazingira ya maisha ya gerezani hata ingekuwa mimi ningekubsli jamaniiii .
Your thinking capacity is low that's, why you are provoking the situation, thus, you can not defend itBadala ya kuleta hoja unaendelea na mipasho, Utakapo kuwa na hoja za msingi utaleta kujibiwa
Hakika.kwa mazingira ya maisha ya gerezani hata ingekuwa mimi ningekubsli jamaniiii .
Nimekuja kugundua kumbe hii nchi inaharibiwa na viongozi wa dini! Masaga mengi sana ya hovyo hovyo hii nchi ukifatilia utakuta nyuma Kuna hao watu!Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe amesema siku moja kabla hajatoka Gerezani, Maaskofu watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye
Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?
Jumaa Mubarak π
Nchi inaharibiwa na jami, ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi iNimekuja kugundua kumbe hii nchi inaharibiwa na viongozi wa dini! Masaga mengi sana ya hovyo hovyo hii nchi ukifatilia utakuta nyuma Kuna hao watu!
Ndio maana Mimi hua namshangaa sana mtu anaekwenda kutubu makosa / Siri zake kwa kiongozi wa dini
Kwani huwa kuna mufti wangapi?!Kwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
Kwahiyo angebaki gerezani?Makubaliano yake hayo ndio yanamtesa kwenye kutetea uenyekiti wa chama