Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe amesema siku moja kabla hajatoka Gerezani, Maaskofu watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye

Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?

Jumaa Mubarak 😂
Tatizo ni kusaliti mapambano.
Hadi CCM wanampigia kampeni hiyo ni indicator.
 
kwa mazingira ya maisha ya gerezani hata ingekuwa mimi ningekubsli jamaniiii .
Hakika.
Jela siyo mahali pazuri na hakuwa na sababu ya kung'ang'ania kubaki lupango wakati aliye kushtaki anasema hataki kuendelea na kesi.
 
Rararaa reree anapitisha likes kwa kila binadam haijalishi uko chama mbogamboga au cha kurunzinza
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe amesema siku moja kabla hajatoka Gerezani, Maaskofu watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye

Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?

Jumaa Mubarak 😂
Nimekuja kugundua kumbe hii nchi inaharibiwa na viongozi wa dini! Masaga mengi sana ya hovyo hovyo hii nchi ukifatilia utakuta nyuma Kuna hao watu!
Ndio maana Mimi hua namshangaa sana mtu anaekwenda kutubu makosa / Siri zake kwa kiongozi wa dini
 
Nchi inaharibiwa na jami, ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi i
 
Kwa haya yanayoendelea Chadema kuhusiana na uchaguzi wa Mwenyekiti ni vema wale maaskofu Watatu na Mufti wakaingilia Kati

Ni hilo tu

Ahsanteni sana 😂😂
 
Kuongea,kushabikia hapa ni rahisi sana.
Iwe kujaa gerezani,kupiga risasi hakuna kitu kizuri
Ila lisu aache kuropoka itam cost huko mbele
 
Back
Top Bottom