Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

Ilifutwa kwa masharti gani?
Hapo ndio kipengele
 
Kwa nini kabla ya hapo huo ugaidi haukuwepo wala kuusoma umeibuka sahv..k
 
Watu wanaona jela pazuri eeh,mtu umejenga nyuma ina master bedroom halafu leo unaenda kuoga bafu na kutumia choo cha pamoja.Acheni kabisa utani na jela lile eneo hata kwa kuangalia linatisha.Hata mimi ningebadili mwelekeo
 
Mnajiona mpo wengi mnaenda makanisani mnajazana wanawake kwa watoto...basi hapo mnajiona mpo mamilioni
Hapo waislam wanaenda kwa wingi wanaume bila ya wingi ya watoto wala wanawake huoni au unajifanya hulijui hilo?
 
Kibaraka Lisu alikimbia Ubalozini badala ya aende jela 😁😁
 
Hata ningekuwa Mimi nikatae wito wa Rais wangu, weeh thubutu ! !
 
 
Uko Nje ya mada

Kisheria Mwamba ni Gaidi au Siyo Gaidi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Niko ndani kabisa yeye si anadai Mbowe wa jela nk tofauti na aliyetoka?

Mbona yeye alikimbilia Kwa mume wake Amsterdam alipotaka Kukamatwa aende jela na Shujaa wako uchwara? Kwa nini asingewnda Ili atoke jela alikuwa Lisu yule yule badala yake kageuka kuwa kibaraka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…