Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

Mkuu hata waislamu kuna bakwata, Answar Suna, kuna mashia n.k, swali kwanini maaskofu wawe wengi vile kwani mmoja hawezi kueleweka?
Askofu mmoja ni dhehebu lake. Askofu mwingine ni catholic ( The true power behind the throne) Na mwingine ni "sisi askofu" ambaye is somewhat close to Chadema. Na Mufti Mmoja wa denomination ya Mama. Au?
 
Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amesema siku Moja kabla hajatoka Gerezani maaskofu Watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye

Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?

Jumaa Mubarak 😂
Hata Mimi nisingekataa,ila kugombea Tena uenyekiti ningekataa!
 
That's never a point; Huyu jamaa kapoteza strength zake zote za kukaa kimya, anajielezea sana, the more anajielezea the more ai doubt him!
Mkuu nakupitia tukamwekee dhamana jamaa yetu, tuonyesheni umoja wetu ni muhimu saana kwa kipindi hiki.
 
Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amesema siku Moja kabla hajatoka Gerezani maaskofu Watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye

Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?

Jumaa Mubarak 😂
Mbona juzi kawakatalia viongozi wa dini kuhusu suluhu ya kutokipasua chama kwa kuachiana nafasi na lissu? Mbowe unafiki unazidi
 
That's never a point; Huyu jamaa kapoteza strength zake zote za kukaa kimya, anajielezea sana, the more anajielezea the more ai doubt him!
Yaan kama ni kweli kaongea hiyo kauri sasa anahari I tena
kwa kauri hii binadamu yoyote mwenye kujitambua atang'amu huyu jamaa anahitaji kupumzika na kumpankijiti mwingine
nilikuwa namkubari sana mbowe
na ningeendelea kukumbari kama angeamua kukaa kimya na kusubiri sanduku la kura
7bu kwake kushinda ilikiwa lazima tu kitokana na mchango wake mkubwa kwenye chama
lkn kutokana na hizo kauri zake hata akishinda leo
ile LEGENCY aliyoijenga ishapotea sasa kutokana kukubari kuwakumbatia VIJANA kama YERICKO na NTOBI ambao kwa namna moja sote tumeona walivyomshushia HESHIMA mboye aliyoipambania na kuijegakwa zaidi ya miongo mitatu
 
Kwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?

Mbona hataki kukutana na watuhumiwa wengine wengi walioko magerezani ?

Au alitaka ikubali dhulma za uchaguzi na wenzake kutekwa lakini sio yeye na chaguzi kuvurugwa mambo ambayo yapo kisheria kwa nini yasiishie mahakamani kwa haki badala yake yawe ni mambo ya utashi nje ya mahakama ?

Kwani aliyesema akamatwe na kufunguliwa kesi hakuwa ni huyo huyo aliyeheuka na kuwa malaika wa nuru?
Ubaya afanyiwe na CCM chuki zihamie kwa Mgombea Uenyekiti wa chama ambacho kuna mamia ya watu waliouawa na kufungwa na serikali hiyo hiyo ?

Mbowe asitafute huruma kwenye mambo yaliyoondoa maisha ya watu wakati yeye ni mzima wa afya na amepewa asali kukamilisha agenda za CCM za kudanganya maridhiano halafu uchaguzi ukifika wafu anaamini kuna maridhiano wanaingia kwenye uchaguzi wanauawa ,wanatekwe ,wanapigwa ,wanachomewa nyumba zao na kufilisiwa vimitaji vyao halafu Mbowe muuaji anagonga chiazi na wauaji wenzake . Huo ujinga haukubaliki tena . Ni bora chama hiki cha kitapeli kife kifo cha asili abaki na wajinga wenzake wasiojali maisha ya watu zaidi ya mali kama lilivyo kundi dogo linalowatumia kule ndani ya CCM na serikali yake .

Mbowe hakuna mtu anayemtaka aendelee kuongoza chama tena .
Mbowe kwa busara zisizo na Hekima anadhani akistaafu na kuachia chama atakua amepungukiwa umaarufu wake kumbe ndio atajijengea heshima na kuonyesha hekima .

Busara bila hekima ni upumbavu na uasi hata mbele za Mungu.
 
Hao ndio wenye watu
Wakristo wana madhehebu matatu yenye mamilioni ya waumini na wapiga kura

Madhehebu hayo ni katoliki ,protestant na walokole

Waislamu dhebu kubwa lenye mamilioni ya waumini ni Bakwata tu iliyo chini ya Mufti hao wengine wachache sana wakiwemo hao Answar suna ni wachache mno

Uongozi hasa ni majority ndio huweka serikali madarakani sio minority

Bakwata ni majority kwenye dini ya uislamu Tanzania hao wengine akina Answar Sunna wanajiita Baraza kuu hamna kitu na kiofisi chao uchwara pale magomeni ugaidi tu
Umejibu vizuri sana
Hata mimi ukiniuliza ni dhehebu gani siwezi kukuambia ila najua niko Bakwata na Bakwatu sio dhehebu ni
Hao ndio wenye watu
Wakristo wana madhehebu matatu yenye mamilioni ya waumini na wapiga kura

Madhehebu hayo ni katoliki ,protestant na walokole

Waislamu dhebu kubwa lenye mamilioni ya waumini ni Bakwata tu iliyo chini ya Mufti hao wengine wachache sana wakiwemo hao Answar suna ni wachache mno

Uongozi hasa ni majority ndio huweka serikali madarakani sio minority

Bakwata ni majority kwenye dini ya uislamu Tanzania hao wengine akina Answar Sunna wanajiita Baraza kuu hamna kitu na kiofisi chao uchwara pale magomeni ugaidi tu
Umejibu vizuri sana
Hata mimi ukiniuliza ni dhehebu gani siwezi kukuambia ila najua niko Bakwata na Bakwatu sio dhehebu ni Baraza tu la waislam ambalo serikali ina mizizi wake.
Na nahisi hata sheikh mkuu atakuwa analipwa kitu flani mi nakumbuka enzi za Sheikh Hemed Bin Juma bin Hemedi alikuwa anapewa posho.
 
Mbona hataki kukutana na watuhumiwa wengine wengi walioko magerezani ?

Au alitaka ikubali dhulma za uchaguzi na wenzake kutekwa lakini sio yeye na chaguzi kuvurugwa mambo ambayo yapo kisheria kwa nini yasiishie mahakamani kwa haki badala yake yawe ni mambo ya utashi nje ya mahakama ?

Kwani aliyesema akamatwe na kufunguliwa kesi hakuwa ni huyo huyo aliyeheuka na kuwa malaika wa nuru?
Ubaya afanyiwe na CCM chuki zihamie kwa Mgombea Uenyekiti wa chama ambacho kuna mamia ya watu waliouawa na kufungwa na serikali hiyo hiyo ?

Mbowe asitafute huruma kwenye mambo yaliyoondoa maisha ya watu wakati yeye ni mzima wa afya na amepewa asali kukamilisha agenda za CCM za kudanganya maridhiano halafu uchaguzi ukifika wafu anaamini kuna maridhiano wanaingia kwenye uchaguzi wanauawa ,wanatekwe ,wanapigwa ,wanachomewa nyumba zao na kufilisiwa vimitaji vyao halafu Mbowe muuaji anagonga chiazi na wauaji wenzake . Huo ujinga haukubaliki tena . Ni bora chama hiki cha kitapeli kife kifo cha asili abaki na wajinga wenzake wasiojali maisha ya watu zaidi ya mali kama lilivyo kundi dogo linalowatumia kule ndani ya CCM na serikali yake .

Mbowe hakuna mtu anayemtaka aendelee kuongoza chama tena .
Mbowe kwa busara zisizo na Hekima anadhani akistaafu na kuachia chama atakua amepungukiwa umaarufu wake kumbe ndio atajijengea heshima na kuonyesha hekima .

Busara bila hekima ni upumbavu na uasi hata mbele za Mungu.
Kweli watu mmechafukwa na Mbowe
 
Askofu mmoja ni dhehebu lake. Askofu mwingine ni catholic ( The true power behind the throne) Na mwingine ni "sisi askofu" ambaye is somewhat close to Chadema. Na Mufti Mmoja wa denomination ya Mama. Au?
Wote ni wafuasi wa Kristo askofu mmoja anatosha, kutumika askofu watatu maana yake kuna jambo lingine hapo
 
Jela tu ndo akaogopa hivyo? Mwenzake alivumilia risasi

Halafu akisimama kwenye majukwaa anasema eti mandela alifungwa miaka 27 .
Bila kukumbuka kuwa Wafuasi wa Mandela hawakua wanatumia busara ya kikondoo , walikua wanapambana huku wakisaidiwa na Tanzania kuondoa siasa za kikaburu mpaka haki ikapatikana .

Maridhiano ya Mandela na makaburu yalikua yanaheshimiwa sana .
Dunia isingemuelewa Mandela kama angefanya maridhiano ya Hadaa kama yale ya Mbowe yanayotokana na rushwa .

Unafikiri makaburu wangekubali maridhiano kama yangekuwa ni ya danganya toto mchana maridhiano usiku wanatekwa na kuuawa . Halafu unaleta vioja vya Mbowe ,Mzee wa Biashara (Busara) .!!
 
Back
Top Bottom