ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Mwenzake alichakazwa na risasi ametulia, yeye kukaa tu jela kama bibi harusi anapiga keleleJela tu ndo akaogopa hivyo? Mwenzake alivumilia risasi
Hawa ndio wanawatia viburi wana siasa kama MboweMaaskofu janja janja tu hamna kitu
Askofu mmoja ni dhehebu lake. Askofu mwingine ni catholic ( The true power behind the throne) Na mwingine ni "sisi askofu" ambaye is somewhat close to Chadema. Na Mufti Mmoja wa denomination ya Mama. Au?Mkuu hata waislamu kuna bakwata, Answar Suna, kuna mashia n.k, swali kwanini maaskofu wawe wengi vile kwani mmoja hawezi kueleweka?
Hata Mimi nisingekataa,ila kugombea Tena uenyekiti ningekataa!Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amesema siku Moja kabla hajatoka Gerezani maaskofu Watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye
Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?
Jumaa Mubarak 😂
Ni fala tu angekataa
Mkuu nakupitia tukamwekee dhamana jamaa yetu, tuonyesheni umoja wetu ni muhimu saana kwa kipindi hiki.That's never a point; Huyu jamaa kapoteza strength zake zote za kukaa kimya, anajielezea sana, the more anajielezea the more ai doubt him!
Mbona juzi kawakatalia viongozi wa dini kuhusu suluhu ya kutokipasua chama kwa kuachiana nafasi na lissu? Mbowe unafiki unazidiMwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amesema siku Moja kabla hajatoka Gerezani maaskofu Watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye
Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?
Jumaa Mubarak 😂
Yaan kama ni kweli kaongea hiyo kauri sasa anahari I tenaThat's never a point; Huyu jamaa kapoteza strength zake zote za kukaa kimya, anajielezea sana, the more anajielezea the more ai doubt him!
Kibaraka Lisu alikimbia Ubalozini badala ya aende jela 😁😁
Kwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
Umejibu vizuri sanaHao ndio wenye watu
Wakristo wana madhehebu matatu yenye mamilioni ya waumini na wapiga kura
Madhehebu hayo ni katoliki ,protestant na walokole
Waislamu dhebu kubwa lenye mamilioni ya waumini ni Bakwata tu iliyo chini ya Mufti hao wengine wachache sana wakiwemo hao Answar suna ni wachache mno
Uongozi hasa ni majority ndio huweka serikali madarakani sio minority
Bakwata ni majority kwenye dini ya uislamu Tanzania hao wengine akina Answar Sunna wanajiita Baraza kuu hamna kitu na kiofisi chao uchwara pale magomeni ugaidi tu
Umejibu vizuri sanaHao ndio wenye watu
Wakristo wana madhehebu matatu yenye mamilioni ya waumini na wapiga kura
Madhehebu hayo ni katoliki ,protestant na walokole
Waislamu dhebu kubwa lenye mamilioni ya waumini ni Bakwata tu iliyo chini ya Mufti hao wengine wachache sana wakiwemo hao Answar suna ni wachache mno
Uongozi hasa ni majority ndio huweka serikali madarakani sio minority
Bakwata ni majority kwenye dini ya uislamu Tanzania hao wengine akina Answar Sunna wanajiita Baraza kuu hamna kitu na kiofisi chao uchwara pale magomeni ugaidi tu
Wasabto ni waprotestnt109+1%Nje ya mada. Hivi hawa watunza sabatho huwa wanawekwa kundi gani haswa?
Je ni protestant, pentecoste, methodist au kundi gani haswa? Ongeza na wale JW(Wazee wa majarida ya amkeni!)
JelaNkurunzinza mbowe alikuwa wapi?
Kweli watu mmechafukwa na MboweMbona hataki kukutana na watuhumiwa wengine wengi walioko magerezani ?
Au alitaka ikubali dhulma za uchaguzi na wenzake kutekwa lakini sio yeye na chaguzi kuvurugwa mambo ambayo yapo kisheria kwa nini yasiishie mahakamani kwa haki badala yake yawe ni mambo ya utashi nje ya mahakama ?
Kwani aliyesema akamatwe na kufunguliwa kesi hakuwa ni huyo huyo aliyeheuka na kuwa malaika wa nuru?
Ubaya afanyiwe na CCM chuki zihamie kwa Mgombea Uenyekiti wa chama ambacho kuna mamia ya watu waliouawa na kufungwa na serikali hiyo hiyo ?
Mbowe asitafute huruma kwenye mambo yaliyoondoa maisha ya watu wakati yeye ni mzima wa afya na amepewa asali kukamilisha agenda za CCM za kudanganya maridhiano halafu uchaguzi ukifika wafu anaamini kuna maridhiano wanaingia kwenye uchaguzi wanauawa ,wanatekwe ,wanapigwa ,wanachomewa nyumba zao na kufilisiwa vimitaji vyao halafu Mbowe muuaji anagonga chiazi na wauaji wenzake . Huo ujinga haukubaliki tena . Ni bora chama hiki cha kitapeli kife kifo cha asili abaki na wajinga wenzake wasiojali maisha ya watu zaidi ya mali kama lilivyo kundi dogo linalowatumia kule ndani ya CCM na serikali yake .
Mbowe hakuna mtu anayemtaka aendelee kuongoza chama tena .
Mbowe kwa busara zisizo na Hekima anadhani akistaafu na kuachia chama atakua amepungukiwa umaarufu wake kumbe ndio atajijengea heshima na kuonyesha hekima .
Busara bila hekima ni upumbavu na uasi hata mbele za Mungu.
Wote ni wafuasi wa Kristo askofu mmoja anatosha, kutumika askofu watatu maana yake kuna jambo lingine hapoAskofu mmoja ni dhehebu lake. Askofu mwingine ni catholic ( The true power behind the throne) Na mwingine ni "sisi askofu" ambaye is somewhat close to Chadema. Na Mufti Mmoja wa denomination ya Mama. Au?
Wazungu wanasema it's not a badge of honourKuishi gerezani siyo sifa 😂😂
Jela tu ndo akaogopa hivyo? Mwenzake alivumilia risasi