Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
That's never a point; Huyu jamaa kapoteza strength zake zote za kukaa kimya, anajielezea sana, the more anajielezea the more ai doubt him!
Hiki ndio alitakiwa kufanya. Akutane na wenzie kwanzawali-bargain ningekuwa Mimi mbowe ningejibu afute ila kuonana nae mpaka nikakae kwanza na kamati kuu
Ndio kinasubiriwa kifeKama ikitokea Mbowe akashinda naomba kwenye maskio yangu nisiskie swala la ccm kuiba kura na mambo ya vyama nitakua sitaki tena kwenye maisha yangu yaliobakia hapa kwenye sayari ya Dunia.
Duuuh we jamaa hiki nini?Hajui chcht hapo alipo yy hajui kama anaweza kuchumbiwa na kuolewa kwa hiyo hiyo Biblia
Wewe mwenyewe shoga unakukuruka wasikujue mpumbavu tuKapiganie ushoga huko usilete ujinga ujinga wako
Maaskofu wana ushawishi mkubwa sana kila mahali duniani na isitoshe Mbowe ni Mkristo safi.Kwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
Ameshalamba asaliMwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amesema siku Moja kabla hajatoka Gerezani maaskofu Watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye
Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?
Jumaa Mubarak 😂
Kwani kuishi gerezani ni sifa au lazima? Huyo Lissu unayesema kakimbia na hajulikani alipo mbona alikuwepo kwenye kikao cha kamati kuu? Inaonyesha unapenda sana kujitekenya na usipocheka unaomba wenzako wakutekenye!Lissu hajawahi kuishi gerezani hata nusu saa.
Kwa hiyo, hajui machungu ya gerezani.
Leo Slaa kadakwa usiku,Lissu ,kakimbia hajulikani aliko,sebuse gerezani?
Kuongea ni rahisi sana,wewe usingekubali?unakaribia kukata Mwaka jelaSo what!?
Pile of rubbish...
🚮🚮🚮🚮
Kwa nini mtuhumiwa aliyekuwa gerezani aibukie ikulu kwa rais badala ya mahakamani aanze kujitetea?Utetezi wa kijeuli huo, Rais hawezi kumuomba Mbowe waonane, Mbowe alikua na uwezo wa kuleta athari gani kwa Rais mpaka amuombe waongee?
Hakuna alie kataa ila mmoja anatosha hakuna haja ya kuchukua kundi kubwa wakati wote ni wafuasi wa Yesu pamoja na MboweMaaskofu wana ushawishi mkubwa sana kila mahali duniani na isitoshe Mbowe ni Mkristo safi.
Naamini yeye ndiye aliomba kuonana na Rais, ndio maana kuna yale tunaambiwa sasa ilifika wakati akaanza kuambia wenzake si lazima wajue kila kitu anachoongea na RaisKwa nini mtuhumiwa aliyekuwa gerezani aibukie ikulu kwa rais badala ya mahakamani aanze kujitetea?
Kwa hiyo wewe ulitaka aendelee kuteseka gerezani? Watu wengine ni wa ajabu!Makubaliano yake hayo ndio yanamtesa kwenye kutetea uenyekiti wa chama
Si kweli kwanza Wasabato si Wakristo wapo wapo tu.
Mimi Niko CCT nakwambia Wasabato waliomba kujiunga na wamekubaliwaSi kweli kwanza Wasabato si Wakristo wapo wapo tu.
Ruhusu akili yako ifanye kazi kidogo, mtuhumiwa wa ugaidi, tena ametangazwa hadi na BBC kwenye mahojiano ya rais. Alikuwa anatakiwa asubuhi hiyo akaanze kujitetea, badala yake anaibukia ikulu.Naamini yeye ndiye aliomba kuonana na Rais, ndio maana kuna yale tunaambiwa sasa ilifika wakati akaanza kuambia wenzake si lazima wajue kila kitu anachoongea na Rais