Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Clouds na Matangazo ni BAM BAM..wqtafute namna nzuri ya kuweka hayo Matangazo pasipo kuathiri MAJADILIANO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
30yrs bado kijana mdogo sana.
30yrs bado kijana mdogo sana.
Unachekesha, lakini hatucheki!Actualy si mwanzilishi wala muasisi, so asijipe umuhimu sana. Waasisi na waanzilishi wapo na wamekaa kimya
Africa miaka 30 ni kijana mdogo au niseme Tanzania labdamiaka 30 siyo kijana mdogo ni mtu mzima, kumbuka kuna pengo la miaka 10 kati ya miaka 20 na 30, alifanya nini hiyo miaka 10 yote? mtu wa miaka 30 ana familia na watoto ambao wanakaribia ujana atakuwaje kijana mdogo?
Sympathy votes, mzee wangu mbowe, mbona unadhidi kujidhalisha,! Sawa ulishiriki kuanzisha chama, lakini haikupi hati miriki ya chama, hiyo sio kampuni binafsi!Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, amesema alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa chama hicho akiwa na umri wa miaka 30. Akizungumza kupitia Clouds FM, amesema;
"Mimi nilikuwa miongoni kwa waanzilishi wa CHADEMA. Kipindi hicho nilikuwa mdogo sana kati ya watu 10 tulioanzisha Chama hiki. Nilikuwa na umri wa miaka 30.
"Nilikuwa nafanya biashara na familia yetu ilikuwa ya Wafanyabiashara na Mzee wangu baada ya vuguvugu la Uhuru alikuwa kwenye siasa aligombea ubunge 1965 alikuwa rafiki wa karibu na Mwl Julius Nyerere. Sisi familia yetu ilikuwa ikifanya biashara kabla ya uhuru wa nchi yetu.
"Niliingia kwenye siasa nikawa nafanya vyote, siasa na Biashara" - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3197111
Soma, Pia:
• Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
• Ezekia Wenje: Msimshangae Mbowe, mbona Nyerere alikaa Madarakani muda mrefu zaidi
• Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'
Kwahio kuanzisha ndio hati Miliki au anataka kusema nini hasa huyu kinyambengoFreeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, amesema alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa chama hicho akiwa na umri wa miaka 30. Akizungumza kupitia Clouds FM, amesema;
"Mimi nilikuwa miongoni kwa waanzilishi wa CHADEMA. Kipindi hicho nilikuwa mdogo sana kati ya watu 10 tulioanzisha Chama hiki. Nilikuwa na umri wa miaka 30.
"Nilikuwa nafanya biashara na familia yetu ilikuwa ya Wafanyabiashara na Mzee wangu baada ya vuguvugu la Uhuru alikuwa kwenye siasa aligombea ubunge 1965 alikuwa rafiki wa karibu na Mwl Julius Nyerere. Sisi familia yetu ilikuwa ikifanya biashara kabla ya uhuru wa nchi yetu.
"Niliingia kwenye siasa nikawa nafanya vyote, siasa na Biashara" - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3197111
Soma, Pia:
• Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
• Ezekia Wenje: Msimshangae Mbowe, mbona Nyerere alikaa Madarakani muda mrefu zaidi
• Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'
Kibwengo huyo akili matopeKwahiyo? Anaongea vitu havina substance
Ulianzisha Chadema ukiwa kijana peke yako, so what?
Baba yangu alikuwa rafiki yake Nyerere, so what?
Anasema vingi sana ila mpaka sasa sijaona akitangaza hoja zilizomsukuma kugombea
Anatumia kila mbinu na hata kama awe mwanzilishi kwani hawezi kukosea yeye nani..? Afu mtu kama huyu hafai hata kumpa uomgozi wowote tena king'ang'anizi. Watu wanaweza kukuachia chama chako na wakaenda kwingine na wakashineActualy si mwanzilishi wala muasisi, so asijipe umuhimu sana. Waasisi na waanzilishi wapo na wamekaa kimya
Utume wa kuwauza kondooMbowe anasema kazi ya siasa ni kazi ya utume inakwenda na maono, kama maono hayajatimia
Si anataka huruma na utakatifu na u ayatollah. Hakuna mbinu yeyote ataleta kuiondoa ccm ikiwa ana lambishwa asaliKwahiyo? Anaongea vitu havina substance
Ulianzisha Chadema ukiwa kijana peke yako, so what?
Baba yangu alikuwa rafiki yake Nyerere, so what?
Anasema vingi sana ila mpaka sasa sijaona akitangaza hoja zilizomsukuma kugombea
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, amesema alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa chama hicho akiwa na umri wa miaka 30. Akizungumza kupitia Clouds FM, amesema;