Pre GE2025 Mbowe: Nimeanzisha CHADEMA nikiwa kijana mdogo wa miaka 30

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
So what? Achia ngazi tu mzee mbowe, umeshachokwa
 
Africa miaka 30 ni kijana mdogo au niseme Tanzania labda

siyo kweli, embu nenda kijijini halafu tafuta mtu wa miaka 30 uone kama utamuweka kwenye hilo kundi la huo “ukijana mdogo”, labda useme watanzagiza (wanaume) ni immature kwa maana ya kwamba hawa act their age, ndiyo maana siku zote hujiita watoto au vijana ili kukimbia majukumu, lkn miaka 30 ni a full grown matured man …
 
Muongo huyu sasa
 
🤣🤣😂😂 Ukiwa huna akili ukawasikiliza watu hapa, utadhani wao ndio wapiga kura🤣🤣😂.
Wapiga kura wapo wametulia wanajua nani atapita au mnadhani kutakuwa na online voting???
 
Yajayo yanafurahisha!
  1. Mbowe hataki kuacha chama, kwa sababu anahisi chama ni mali yake binafsi na hivyo hakuna mwenye haki ya kumnyng'anya labda apange yeye nani wa kumpa na lini? Kwa hili yuko radhi kumwaga 'mboga' hata chama kife haina shida kwake1
  2. Lissu anaona anacheleweshwa muda unaenda! Anataka ku-negotiate dela la kwake kwa sababu hakupata mgao wa maana kwenye deal la Mbowe!
  3. Vijana wamebaki njia panda, wale waliokuwa wanashabikia kiharakati sasa hivi ni watu wazima wana familia za hudumia hawawezi kuendelea ku-mark time wanataka uhakika wa "ajira'!
Subiri upepo uvume, tuone makalio ya kuku!
 
Tai nyekundu ishara ya madaraka, FAM yupo kazini bado.
 
Harafu akabishi chama Kwa wahuni wa diaspora na wanaharakati uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…