Pre GE2025 Mbowe: Nimekuwa Kiongozi kwa miaka 30 na Sasa ni Kiongozi mkuu wa Chama Kwa Miaka 20 huwezi kunitoa mwenye Reli kwa sababu Sijakurupuka!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe amesema amekuwa Kiongozi kwa miaka 30 na Sasa ni Kiongozi mkuu wa chama kwa miaka 20 hajakurupuka

Mbowe amesema kashfa ndogo ndogo haziwezi kumtoa kwenye Reli

Source: Crown media
 
Naona mbowe anadema yeye ndio anapigania mabadiliko na demokrasia nchini. Mbowe anataka mabadiliko ya kimfumo, ccm waondoke madarakani wamekaa muda mrefu, demokrasia, katiba mpya inayotoa ukomo wa madaraka lakini yeye ndani ya Chadema hivyo vitu hakuna.

Chadema ilikua na ukomo wa madaraka kwenye katiba yeye akaondoa, anasema ccm imekaa muda mrefu madarakani inabidi itoke ila yeye hataki kutoka chadema, yeye ni mwenyekiti wa maisha.

Anasema atailinda chadema kwa gharama zote ila ukweli unabaki kwamba chadema ni saccos yake, lazima ailinde na hawezi kuruhusu saccos yake ichukuliwe na watu wengine.

View: https://x.com/CrownMediaTZ/status/1875240469359153653?s=19
 
ⓘThis user does not support FREEMAN AIKAEL MBOWE
 
  • Thanks
Reactions: G4N
This is absurd! 21 years in power but still this moron does not want to be succeeded.
 
Naona mbowe anadema yeye ndio anapigania mabadiliko na demokrasia nchini. Mbowe anataka mabadiliko ya kimfumo, ccm waondoke madarakani wamekaa muda mrefu, demokrasia, katiba mpya inayotoa ukomo wa madaraka lakini yeye ndani ya Chadema hivyo vitu hakuna.

Chadema ilikua na ukomo wa madaraka kwenye katiba yeye akaondoa, anasema ccm imekaa muda mrefu madarakani inabidi itoke ila yeye hataki kutoka chadema, yeye ni mwenyekiti wa maisha.

Anasema atailinda chadema kwa gharama zote ila ukweli unabaki kwamba chadema ni saccos yake, lazima ailinde na hawezi kuruhusu saccos yake ichukuliwe na watu wengine.

View: https://x.com/CrownMediaTZ/status/1875240469359153653?s=19

Wakati mabadiliko ya kuondoa ukomo yanafanyika, Lissu ndiye alikuwa mwanasheria Mkuu wa Chadema hivyo ulikuwa ni ushauri wake
 
Mbowe shikilia hapo hapo,Watz sio watu wa kuwategemea,wanabadilika badilika kulingana na upepo wa matukio

Hata maandamano mkiitwa hamtokei,mmejaa humu kumlaumu na kumtukana

Eti kashindwa kupambana na Ccm, nendeni mkapambane nyie muone kama ni kazi rahisi
 
Back
Top Bottom