Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Inawezekana πππAu hii chanjo ndiyo ilipelekea akaumwa sana mpaka kupotea kwa kipindi fulani, usikute damu ya mwenyekiti wetu iliganda.
FafanuaCorona ni kifo
Kwa taifa masikini kama letu inambidi rais ajitahidi aagize wizara husika kuharakisha upatikanaji wa chanjo.Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa nje ya nchi kibiashara
Aidha amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan aharakishe mchakato wa Uchunguzi dhidi ya Corona ili hatua stahii zichukuliwe mapema na kuepusha vifo vinavyoweza kutokea
Amesema awali wao walitaka nchi ichukue hatua stahiki sio kwa maana ya kuifungia nchi bali kuwa na vituo vya kupima watu, kuwa na ventilators za kutosha na vifaa kwa wahudumu wa afya ili kukabiliana na ugonjwa
Wewe kama hutaki hiyo chanjo basi waache wenzako wapate maana hulazimishwi.Huyu nae kaanza kuyumba namuonaga kichwa lkn kwa hiyo chanjo ha ha ha!
Labda kama walimlazimisha kwa kumfunga na kamba ndiyo wamchome hiyo sindano.
Mwambieni kamanda wenu awanyunyuzie hiyo aliyopigwa yeye...huku hatutaki ujinga ujinga wa kufuata mikumbo..Kwa taifa masikini kama letu inambidi rais ajitahidi aagize wizara husika kuharakisha upatikanaji wa chanjo.
Corona ipo na siyo ya kufanyia mbwembwe wala kutafutia umaarufu kama alivyokuwa anaamini jiwe.
Mkuu Hii ID Yako ndo umekuwa ukiitumia toka 2018 ulipojiunga?Inawezekana πππ
Tuliopata hiyo chanjo tupo wengi mkuu hili ni suala la uhai na kifo hivyo ukiamua ni juu yako.Acha ujuaji mzee wangu. Umepata wewe inatosha. Shukrani umetuwakilisha vyema.