wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 775
Tulizani atakuja na mambo mazuri kumbe kutuambia ujinga ujinga wake hapa, mbona huku mitaani watu wanadunda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa chanjo hii nyie bataHuyo aliyebeza chanjo leo yuko wapi ?
[emoji2][emoji2]Labda wewe ndiyo hujachanjwa lkn binafsi nimepata chanjo hapo Kenya.
Wewe ndelea kubinua makalio shauri zako.
Yaani uhai ni wako usubiri uletewe?Na familia yake Mwenyekiti wetu yote imechanjwa hiyo chanjo? Au wao wanasubiria iletwe na serikali? Hahahaha. Just hahaha.
Lazima kasema nani?Wee jamaa bhana hiyo chanjo ni lazma siyo ombi.. Kama wewe siyo mfanyabiashara unafanya nje ya mipaka ni lazma jiwe aliwaharibu sana vichwa vyenu...
Inasaidia sana maana nawaona mataga mlivyo yumba kiuchumiHaisaidii
Hutaki wacha maana hulazimishwi tutakuzika tuMambo yote sawa lkn hapo kwenye chanjo Big No.
Mwenyekiti amechanjwa yeye tu, au na familia yake yote?Yaani uhai ni wako usubiri uletewe?
Wewe tayari ni mgonjwaWewe ukichanjwa hutakufa?
Wewe ni mzima?Wewe tayari ni mgonjwa
Wakwenu keshatanguliaUmepata chanjo Sasa utakuwa Immortal , na utaishi M I L E L E mwenye kiti chake
R.I.P jiweKama ameshanunuliwa zaidi nankuingia nao unia aje piga hela huku mwambieni kamanda hatutaki ujinga...akapige yeye tena...
Nasema hivi kama alienda kuingia nao makubaliano ma kipewa shea yake sasa kaagizwa aje hubiri huku basi imekula kwake, hiyo hela aliyopewa atairudishabkwa njia nyingine. Upuuzi hatutaki...Shea gani kapewa? Yaani nyie mitoto ya wanawake wasimbe mna tabu kubwa sana
Kama chumaWewe ni mzima?