barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Bado hujamaliza kusherehekea? Una roho mbaya sana wewe.R.I.P jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujamaliza kusherehekea? Una roho mbaya sana wewe.R.I.P jiwe
Tuwaulize chatoMwenyekiti amechanjwa yeye tu, au na familia yake yote?
Mimi nilikuwa nahoji tu kama familia ya Mwenyekiti wetu nayo imepata chanjo ya Corona. Sikuwa na access ya kusikiliza hotuba yake live. Ila kama kapata chanjo peke yake basi Mwenyekiti wetu ajitafakari sana.Aliyekataa chanjo tayari yupo peponi
Like son like fatherBado hujamaliza kusherehekea? Una roho mbaya sana wewe.
Hulazimishwi usipochukua tahafhali tutakuzika tu na baada ya siku 2 tuanakusahau tuHatuwezi kukuamini mpaka tuone picha halafu nyinyi si mnajifanya mnapenda uwazi sasa mbona chama hakija toa hii taarifa mpaka hii leo.
Chanjo ya kengeza je?Tuwaulize chato
Sio kila mtu afya yake ni tia maji tia maji.Hutaki wacha maana hulazimishwi tutakuzika tu
Wewe kweli ni jingalao.wenzetu chanjo hii wanapewa wazee zaidi ya 80s
Kuna chanjo ya JiweChanjo ya kengeza je?
Mtu asijisifu kwa kupata chanjo akaona ndio amefika.Kumbe mambo bado kabisa.Au hii chanjo ndiyo ilipelekea akaumwa sana mpaka kupotea kwa kipindi fulani, usikute damu ya mwenyekiti wetu iliganda.
SawaKama chuma
🤣🤣🤣AmeponeaAu hii chanjo ndiyo ilipelekea akaumwa sana mpaka kupotea kwa kipindi fulani, usikute damu ya mwenyekiti wetu iliganda.
Huyu nae kaanza kuyumba namuonaga kichwa lkn kwa hiyo chanjo ha ha ha!
Pongezi kwako Kiongozi wangu Mbowe. Gazeti zote ulaya wiki hii yote zimeandika kua, Corona imejijenga na sasa mpaka watoto wataumwa Covid-19 na itawatesaKwa taifa masikini kama letu inambidi rais ajitahidi aagize wizara husika kuharakisha upatikanaji wa chanjo.
Corona ipo na siyo ya kufanyia mbwembwe wala kutafutia umaarufu