KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Mkuu hapa nina doubt nae kifikra hiyo chanjo inamashaka sana heri ingekuwa nyengine.Kama ulikua unamuona kichwa kabla, sasa kapata chanjo bas sio mbaya unaweza muona hata mguu. Dormant thinking!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapa nina doubt nae kifikra hiyo chanjo inamashaka sana heri ingekuwa nyengine.Kama ulikua unamuona kichwa kabla, sasa kapata chanjo bas sio mbaya unaweza muona hata mguu. Dormant thinking!!
Mkuu hapa nina doubt nae kifikra hiyo chanjo inamashaka sana heri ingekuwa nyengine.
Weka akiba ya maneno mkuu. Leo Magufuli ameenda zake mmebaki hamjui msimamie kipi.Mwambieni kamanda wenu awanyunyuzie hiyo aliyopigwa yeye...huku hatutaki ujinga ujinga wa kufuata mikumbo..
Hata Kama ni swala la afya hiyo chanjo ya kuogopa sio wajinga walioamua kuacha hiyo chanjo licha ya hasara waliyopata yani namshangaa sana.. unajua bora taarifa isingekuwa imefahamika juu ya hiyo chanjo i mean angechoma kabla ya zengwe la kugandisha damu na kukataliwa na mataifa lukukiHii issue haipo kweny obligation kwa sasa so yule anaeona ni muhimu kwaajil ya afya yake yupo huru kupata chanjo. Tatizo hapa mtu akisema juu ya chanjo yaan anaonwa kama muhujumu uchumi 🤣🤣
Ametumwa huyo kupigia debe biashara za watu!Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa nje ya nchi kibiashara
Aidha amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan aharakishe mchakato wa Uchunguzi dhidi ya Corona ili hatua stahii zichukuliwe mapema na kuepusha vifo vinavyoweza kutokea
Amesema awali wao walitaka nchi ichukue hatua stahiki sio kwa maana ya kuifungia nchi bali kuwa na vituo vya kupima watu, kuwa na ventilators za kutosha na vifaa kwa wahudumu wa afya ili kukabiliana na ugonjwa
Huyu nae kaanza kuyumba namuonaga kichwa lkn kwa hiyo chanjo ha ha ha!
Alikataa mawazo na mioango ya mataga kutaka kubadili katiba ili kumuwezesha atawale kama kagameMungu amekataa kivip wakati kampeleka mwenyewe kwenye NYUMBA YA KUDUMU!
Hapo mwamba sijamkubali
Kwani mziki siyo taaluma?Music!
Tangu Bashite amefukuzwa kazi naona umenywea kama mchicha kwenywe maji ya motoBado kujikinga ni muhimu..
Inawezekana kabisa mkuuUnaweza kubadili ID
Mwambie huyombowe anafanya biashara kimataifa angefanyeje unafikiri anafanya biashara ya machame - kariakoo
Kwani umelazimishwa wewe mataga?Mkuu hapa nina doubt nae kifikra hiyo chanjo inamashaka sana heri ingekuwa nyengine.
Kwani wewe ni kuku wa kizungu?Kwa hiyo Mbowe anataka kila mtu apigwe chanjo kama kuku wa kisasa?
Hongera sana mkuu kwa kutuelimisha sisi kina kajamba nani maana kila kitu tunajifanya tunakijua.Katika tafiti/ugunduzi zote za kitabibu hakuna dawa au chanjo isiyo na madhara kwa binaadamu
Miili yetu ina tofautiana na pia madhara yatokanayo na dawa/chanjo yanatofautiana pia kwa kila binaadamu...
Huo ndiyo ukweli maana kila mtu anatakiwa aijali afya yake.Hii issue haipo kweny obligation kwa sasa so yule anaeona ni muhimu kwaajil ya afya yake yupo huru kupata chanjo. Tatizo hapa mtu akisema juu ya chanjo yaan anaonwa kama muhujumu uchumi [emoji1787][emoji1787]