Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

Endelee kutumia chanjo ya Austrazeneca hata kama inagandisha damu. WHO imesema salama. Ole wako wewe unaepinga biashara hii. Sisi mabeberu hatutakuone huruma tutammaliza kila anayezuia biashara. Pole sana DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.
 
Wale bavicha wanaomtetea mwenyekiti waje kumuuliza kama anawajali sana kwanini hajawapeleka wote Dubai kupata chanjo,

Mara zote huwa tunasema hapa hao ikaja siku amani imepotea wataondoka na familia zao wawaacheni mkiusikia mziki wake.
Wewe legeza kiuno korona itakuzoa
 
Back
Top Bottom