Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

Pamoja na woga wangu juu ya COVID 19 na athari zake lakini bado nafsi inajawa hofu na hizi chanjo.....nikiutazama utaratibu wa research za chanjo hadi uizinishwaji wake na namna hili jambo linavyopelekwa msobe msobe na wanasiasa.......ngoja tuone...
Mbaya zaidi hata ughaibuni wenyewe bado hawana uhakika na chanjo yenyewe
 
Kwa hiyo ndugu kupata chanjo ya Corona imekuwa ni jambo la kujisifia tena?

Nyie chanjeni na ikija tusilazimishane,Sisi wengine ni vijana tuna afya zetu imara Corona kwetu ni ugonjwa wa kufikirika tu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Aliyepuuza ushauri wa kitaalam/kiafya leo hii yupo akheera
 
Leo nimeenda kula restaurant kwa mara ya kwanza baada ya miezi 13 ya kutoweza kujichanganya.

Kwa uhuru nilioupata baada ya kumaliza wiki mbili toka kuchanjwa chanjo ya pili ya Pfizer.
Hongera sana ndugu kwa kuthamini uhai wako na mungu akubariki.
 
Hawa mataga bado wana maruwe ruwe baada ya mfadhili wao kuwatoka
 
Au hii chanjo ndiyo ilipelekea akaumwa sana mpaka kupotea kwa kipindi fulani, usikute damu ya mwenyekiti wetu iliganda.
Na damu kuganda kwa muda fulani kunapunguza uwezo wa kurudisha kumbukumbu kwa haraka.
 
Wewe ndio unamuita Mkiti wako Dalali..Soma vizuri kwa utuo uone kama kuna neno nimetumia udalali..rudia vizuri kusoma
 

It is just a joke! AstraZeneca riski ni very low...riski ya blood clot ni sawa na kusafiri kwa ndege!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…