Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

Nasisitiza Hotuba ya mbowe ni nzuri lakini hapo kwenye chanjo kachemka" kuna usemi unasema hivi!

"Hata kama watu wanavutiwa na makalio yako lakini ukiyatikisa sana mwisho wake chupi huzama mtaroni"

Mbowe kazamisha chupi kwenye mwendo unaovutia!
 
Nasisitiza Hotuba ya mbowe ni nzuri lakini hapo kwenye chanjo kachemka" kuna usemi unasema hivi!

"Hata kama watu wanavutiwa na makalio yako lakini ukiyatikisa sana mwisho wake chupi huzama mtaroni"

Mbowe kazamisha chupi kwenye mwendo unaovutia!


Na wewe haya matusi yalikuwa Yana ulazima?
Unafanya waungwana wote waliokuwa wanakubaliana na wewe wakutoe akili
 
wewe na mbowe hamna tofauti
mbona unapigia kampeni hizo chanjo zingine mbili umezitaja hapo juu
 
Unaleta mada na ku-comment mwenyewe yaani unajitekenya na kucheka mwenyewe 🤣🤣🤣
 
Astra zeneca naona ndiyo inaongoza kwa kulalamikiwa
 
MASALIA YA JIWE, afya ni suala la mtu binafsi, iweje leo umpangie mtu afya?
 
Chanjo iletwe kama Mbowe kathibitasha ni salama hatuna mashaka tena ati kuilipia tutalipia tu
 
Ukiamua kutembea na mtu usiyemjua, una uamuzi wa kutumia kinga au kutotumia. Hakuna anaekulazimisha. Hivyo hivyo kwa chanjo. Kama wewe hautaki usiwazuie wengine wasichanjwe hata kama wangependa kuchanjwa. Huo ni upuuzi na ukatili uliopitiliza.

Amandla...
 
Chanjo iletwe kama mbowe kathibitasha ni salama hatuna mashaka tena at kuilipia tutalipia tu
Leo nimeenda kula restaurant kwa mara ya kwanza baada ya miezi 13 ya kutoweza kujichanganya.

Kwa uhuru nilioupata baada ya kumaliza wiki mbili toka kuchanjwa chanjo ya pili ya Pfizer.
 
Hayo tisa Kum mbowe hajawah kuwa na ushaur mzur hata sku moja
Hyo chanjo ya AstraZeneca imepgwa chn kweny nch za watu ikihusishwa na ugandaji damu Ila kwa sabab za Kiki za kisiasa bas anaona vema watu waipate ili waonje utamu wa kuganda damu

Af mbowe Bora awe mfanyabiashara tu siasa haziwez nakusalm kwa jina la mbowe
 
Kama kapata chanjo asubiri damu kuganda hasa kwenye ubongo.
 

AstraZeneca ni chanjo ambayo kusaifirisha na kuitunza kwake ni rahisi zaidi.

Haupo ushahidi wa moja kwa moja kuwa ina madhara.

Hata inayosemekana kuwa ni madhara, ni kwa kiwango kipi?

Tunapatiwa ikiwamo chanjo hii bure kupitia COVAX.

Udalali wa Mbowe hapo uko wapi?
 
Leo nimeenda kula restaurant kwa mara ya kwanza baada ya miezi 13 ya kutoweza kujichanganya.

Kwa uhuru nilioupata baada ya kumaliza wiki mbili toka kuchanjwa chanjo ya pili ya Pfizer.
Ni vizuri sana hapa tz sijui tuandamane chanjo iletwe
 
Magu aliharibu sana vichwa vya watu mzee.. Aliwa brainwash vya kutosha
 
Labda wewe ndiyo hujachanjwa lkn binafsi nimepata chanjo hapo Kenya.
Wewe ndelea kubinua makalio shauri zako.
Kwa hiyo ndugu kupata chanjo ya Corona imekuwa ni jambo la kujisifia tena?

Nyie chanjeni na ikija tusilazimishane,Sisi wengine ni vijana tuna afya zetu imara Corona kwetu ni ugonjwa wa kufikirika tu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Anawafurahisha Mabeberu kuwa anafuata matakwa yao,hovyo kabisa.
 
Sasa Kama kapata chanjo mbona kakonda sana hakafu alikuwa anakohoa sana kwenye press conference kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…