Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbowe anajua kuongea na media ila ni mnafiki na mbinafsi kama ilivyo asili ya kabila la wachaga
You mean unamlaumu kwa kuwa mwanasiasa? Comeon manMbowe anajua kuongea na media ila ni mnafiki na mbinafsi kama ilivyo asili ya kabila la wachaga
Kwa Sasa sio Mwanasiasa ni mfanyabiashara. Alistaafu baada ya kushindwa labda kama Mimi sielewi.You mean unamlaumu kwa kuwa mwanasiasa? Comeon man
Mwanasiasa yoyote lazima aweze kutumia unafiki kwa namna moja au nyingine, haina relation na kabila
Ila ana uwezo mkubwa wa utapeli kuliko mbelgijiMbowe anajua kuongea na media ila ni mnafiki na mbinafsi kama ilivyo asili ya kabila la wachaga
Vipi Mahakamani nako anahudhuria ? Au hajapewa mualiko ?Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
View attachment 3408884
ππ mwanasiasa ni Mwenyeliti tu ,alivyokoma uenyekiti si mwanasiasa?,umesahau kuwa ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA?πKwa Sasa sio Mwanasiasa ni mfanyabiashara. Alistaafu baada ya kushindwa labda kama Mimi sielewi.
Kwahiyo mkaamua kumtoa mbowe na kumpa Lissu uenyekiti sababu ni mbinafsi na mnafiki kama ilivyo asili ya kabila la wachaga?Mbowe anajua kuongea na media ila ni mnafiki na mbinafsi kama ilivyo asili ya kabila la wachaga
Ameshtakiwa? Anahusikaje na uhaini wa Lissu?Vipi Mahakamani nako anahudhuria ? Au hajapewa mualiko ?