Mbowe: Nimeudhuria uzinduzi wa Dira kwasababu tuliweka maoni yetu lakini pia nilipewa mualiko

Mbowe: Nimeudhuria uzinduzi wa Dira kwasababu tuliweka maoni yetu lakini pia nilipewa mualiko

Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.

View attachment 3408884

​
Mbowe yupo vizuri. Namshauri tu awasaidie wenzake. Amtie moyo Heche na kumshauri. Pia kwakuwa anaelewana na Mama Samia azungumze naye amuachie Lisu na wazungumze kuondoa tofauti zilizopo.
 
Lipumba, Dovutwa, John Cheyo, Zito etc , hawa ni Wachaga wa wapi?
Zitto mwalimu wake ni Mbowe, hao wengine Kila mtu anakabila lake lakini wachaga ni wengi sana wanaosaliti wananchi kwa manufaa ya matumbo yao. Mbowe tulichelewa sana kumjua.
 
Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
Hii siyo kazi yake tena, na wala hana wajibu huo.
Wao viongozi wa chama waliochaguliwa; hao ndio walioaswa kualikwa na kuhudhuria.

Hii ni mwendelezo wa ishara mbaya, kwamba Mbowe anashirikiana na Samia kuihujumu CHADEMA.
 
Mbowe anajua kuongea na media ila ni mnafiki na mbinafsi kama ilivyo asili ya kabila la wachaga
Hapo kwenye unafiki vs kabila la wachaga umekosea. Anzisha uzi la Makabila uenye unafiki, ubinafsi top five tuone kama litakuwepo. Maendeleo ya kabila usichukulie ni ubinafsi.
Mtu kajinyima kanunua gari unataka upande kila siku na matope, kama ulisaidia kununua kwendaa..
 
haha hata tu kutamka neno chadema hawezi, anasema wakati nikiwa mwenyekiti wa chama bila ya kukitaja kwa jina hicho chama, sijawahi kusikia jambo kama hilo …
Acheni kulialia nyie nyumbu. Mtu kakubali kushindwa na kaamua kuwa bize na mambo yake bado mnamfuata fuata. Acheni upumbavu
 
Nilishasema huyu Mbowe kahamia CCM mara nyingi watu hawaelewi, subirini tamko rasmi..
 
Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.

Mgombea U-Rais kupitia CHAUMMA huyo, Mzee tapeli sana
 
Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.

Kama asingehudhuria asingejua? Kwanini wasialikwe kina Heche walioko madarakani?
 
Back
Top Bottom