hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Huyo ni mpigaji kitambo Sema watu walikuwa Hawaja Shtuka kwakuwa miaka Ile iliyopita ulikuwa ni wakati wa giza wajinga walikuwa wengiMzee amekuja kuharibika uzeeni....huyu ni zaidi ya bamia
Huyo ni mpigaji kitambo Sema watu walikuwa Hawaja Shtuka kwakuwa miaka Ile iliyopita ulikuwa ni wakati wa giza wajinga walikuwa wengiMzee amekuja kuharibika uzeeni....huyu ni zaidi ya bamia
Kuna watu wanachukia wachaga kisa maendeleo yao tu kuna kitu kimoja mzee wangu alikuwa anasema,nendeni mkaoe kwa wachaga mpate akili zaidi ya maendeleo na sio kuwachukia.Vijana wengi wa Nyerere walioa uchagani akina Mkapa,Mwinyi,Salmin na wengineo lengo naamini ilikuwa ni kuunganisha akili na sio kupinga akiliYou mean unamlaumu kwa kuwa mwanasiasa? Comeon man
Mwanasiasa yoyote lazima aweze kutumia unafiki kwa namna moja au nyingine, haina relation na kabila
Yaani Chadema ya sasa inataka impangie kila mtu kitu cha kufanya,wanataka kila mmoja afuate matakwa yao na kudumisha uadui kila kona.Watu wanataka Mbowe, akae nyumbani ajifungie! Asitoke, wala aiseme lolote. 😄
Hapo sasa, maana maoni waliyatoa kama chama ma si mbowe kama mtu binafsi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alipewaje mwaliko wakati Mahakama imezuia Chadema kufanya Siasa?
amekuja kama mwanachama ama kiongozi ? walitakiwa waje walioko madarakani wewe umeshindwa uchaguzi ni mwanachama wa chini kabisa,umeona ukaidi wako wa kukataa kustafuAkizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
Ujinga wako uko kwenye damu yaani "blood fool". Taratibu tutakusaidia ili kiwe kinafanya kazi na sio kama ilivyo sasa kazi yake ni kubeba meno pekee.Wewe ndio wakunitoa ujinga mimi wakati wewe ndio mjinga kamili!?