Mbowe: Nimeudhuria uzinduzi wa Dira kwasababu tuliweka maoni yetu lakini pia nilipewa mualiko

Mbowe atateuliwa na atakubali,either atateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa au balozi,Mbowe hawezi kwenda kwenye chama ndogo kama chauma
 
hana lolote. legacy yote kwishney! msaliti
 
Mbowe ana karama ya uongozi.Mungu ambariki
 
Mbowe the great.
 
Watu wanataka Mbowe, akae nyumbani ajifungie! Asitoke, wala aiseme lolote. 😄
 
Siku zote mfanyabiashara huangalia faida na usalama wa biashara yake. Nothing more.
 
Heche toa mwaliko wa kuhuduria kesi kwa Mbowe..mzee anakuja kwa mialiko
 
haha hata tu kutamka neno chadema hawezi, anasema wakati nikiwa mwenyekiti wa chama bila ya kukitaja kwa jina hicho chama, sijawahi kusikia jambo kama hilo …
Aisee nyie machadema mbumbumbu na malimbukeni mna miaka mingi sana ya kuteseka.....umewahi kusikiliza Kila alichoongea miaka yote hii kiasi kwamba uje hapa utuambie hii ni mara ya kwanza kuongea hivyo?!!!!!! Muwe na aibu ya kibinadamu basi wakati mwingine. Amewahi kuwa mwenyekiti wa nini' zaidi ya chadema? Ikiwa hilo linafahamika kwa Kila mtu, Kuna shida gani kwa alichoongea?!!! Kweli we kijakazi😀😀😀
 
sasa huyu yuda ameenda pale yeye kama nani? mstaafu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…