Mbowe: Nimeudhuria uzinduzi wa Dira kwasababu tuliweka maoni yetu lakini pia nilipewa mualiko

Asitubabaishe
 

tanzagiza wote husema nilipokuwa mwenyekiti wa ccm da da da, nilipokuwa mwenyekiti wa cuf da da da, nilipokuwa mwenyekiti wa chadema da da da, nilipokuwa mwenyekiti wa nccr da da da , sijawahi kusikia aliyekuwa mwenyekiti wa chama akiongea kama alivyoongea mbowe hapo kwenye clip bila kutaja jina la chama alichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20, anasema tu nilipokuwa mwenyekiti wa chama …
 
Una matatizo ya kisaikolojia, muone mtaalamu akuponye.
 
Huyu kashalamba asali ya "Mama: mpaka waziwazi kanisani unafikiri atamkatalia Mama jambo lake?
 
Una matatizo ya kisaikolojia, muone mtaalamu akuponye.

labda, lkn hiyo ni observation yangu na uzoefu wangu tu wa jinsi wanasiasa wa tanzagiza kwa hali ya kawaida wanavyoongea, sijawahi kusikia mwenyekiti wa chama cha siasa akiongea bila ya kutaja jina la chama alichokiongoza, kwamba nilipokuwa mwenyekiti wa chama halafu ndiyo kamaliza hapo …
 
Haya mkuu.
 
Alipew a mwaliko yeye kama Mbowe au yeye kama mwanachama wa Chadema?
 
Huyu mwamba amewavunja moyo sana wenzake.... Pakubwa sana....

Kuna post kule X ameiweka Maria Sarungi..... Kama ni kweli basi FAM ni mwanaccm kitambo...
 
Dalali mzee wa konyagi bapa. 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…