NABII MTARAJIWA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 878
- 1,201
Mbowe yupo vizuri. Namshauri tu awasaidie wenzake. Amtie moyo Heche na kumshauri. Pia kwakuwa anaelewana na Mama Samia azungumze naye amuachie Lisu na wazungumze kuondoa tofauti zilizopo.Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
View attachment 3408884
Lipumba, Dovutwa, John Cheyo, Zito etc , hawa ni Wachaga wa wapi?wachaga wamerudisha nyuma sana ukombozi wa hii nchi kuanzia kina mrema, mbatia, Mbowe na vibaraka wao wa Chauma wakiongozwa na John Mrema.
Zitto mwalimu wake ni Mbowe, hao wengine Kila mtu anakabila lake lakini wachaga ni wengi sana wanaosaliti wananchi kwa manufaa ya matumbo yao. Mbowe tulichelewa sana kumjua.Lipumba, Dovutwa, John Cheyo, Zito etc , hawa ni Wachaga wa wapi?
Kwa sasa ni kiongoz chadema?😂😂😂😂😂
Alipewaje mwaliko wakati Mahakama imezuia Chadema kufanya Siasa?
Hakutaka kung’atuka akang’atushwa na wapigakura!Kwa Sasa sio Mwanasiasa ni mfanyabiashara. Alistaafu baada ya kushindwa labda kama Mimi sielewi.
Chadema imemsalitihaha hata tu kutamka neno chadema hawezi, anasema wakati nikiwa mwenyekiti wa chama bila ya kukitaja kwa jina hicho chama, sijawahi kusikia jambo kama hilo …
Wewe ndio wakunitoa ujinga mimi wakati wewe ndio mjinga kamili!?Hebu tutajie hao ambao si wanafiki na wabinafsi ili tukutoe ujinga.
Hii siyo kazi yake tena, na wala hana wajibu huo.Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
Swali zuri kabisa.😂😂😂😂😂
Alipewaje mwaliko wakati Mahakama imezuia Chadema kufanya Siasa?
Hapo kwenye unafiki vs kabila la wachaga umekosea. Anzisha uzi la Makabila uenye unafiki, ubinafsi top five tuone kama litakuwepo. Maendeleo ya kabila usichukulie ni ubinafsi.Mbowe anajua kuongea na media ila ni mnafiki na mbinafsi kama ilivyo asili ya kabila la wachaga
Acheni kulialia nyie nyumbu. Mtu kakubali kushindwa na kaamua kuwa bize na mambo yake bado mnamfuata fuata. Acheni upumbavuhaha hata tu kutamka neno chadema hawezi, anasema wakati nikiwa mwenyekiti wa chama bila ya kukitaja kwa jina hicho chama, sijawahi kusikia jambo kama hilo …
Uzinduzi wa dira ya taifa ni tukio la kisiasa?😂😂😂😂😂
Alipewaje mwaliko wakati Mahakama imezuia Chadema kufanya Siasa?
Acheni kulialia nyie nyumbu. Mtu kakubali kushindwa na kaamua kuwa bize na mambo yake bado mnamfuata fuata. Acheni upumbavu
Mgombea U-Rais kupitia CHAUMMA huyo, Mzee tapeli sanaAkizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
Kama asingehudhuria asingejua? Kwanini wasialikwe kina Heche walioko madarakani?Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
Keshajua kaharibuKwanini anajitetea?
Anajitetea kwa nani?
Anajitetea ili iweje?
😁😁Ila Makengeza