Mbowe: Nimeudhuria uzinduzi wa Dira kwasababu tuliweka maoni yetu lakini pia nilipewa mualiko

You mean unamlaumu kwa kuwa mwanasiasa? Comeon man

Mwanasiasa yoyote lazima aweze kutumia unafiki kwa namna moja au nyingine, haina relation na kabila
Kuna watu wanachukia wachaga kisa maendeleo yao tu kuna kitu kimoja mzee wangu alikuwa anasema,nendeni mkaoe kwa wachaga mpate akili zaidi ya maendeleo na sio kuwachukia.Vijana wengi wa Nyerere walioa uchagani akina Mkapa,Mwinyi,Salmin na wengineo lengo naamini ilikuwa ni kuunganisha akili na sio kupinga akili
 
Watu wanataka Mbowe, akae nyumbani ajifungie! Asitoke, wala aiseme lolote. 😄
Yaani Chadema ya sasa inataka impangie kila mtu kitu cha kufanya,wanataka kila mmoja afuate matakwa yao na kudumisha uadui kila kona.
 
amekuja kama mwanachama ama kiongozi ? walitakiwa waje walioko madarakani wewe umeshindwa uchaguzi ni mwanachama wa chini kabisa,umeona ukaidi wako wa kukataa kustafu
 
Sasa nimeanzakuamini kwamba Mbowe alipata div zero form four.
Mimi binafsi ukinipa mateso jua imetoka hiyo. No Salaam, no handshake hata nikikuona kwenye sherehe mimi naondoka.
Wangapi Tanzania wanaishi bila pesa ya kuhongwa.
Ina mana Mbowe anaweza kukaa meza moja na Sabaya? Itakua zaidi ya umalaya..
 
Wewe ndio wakunitoa ujinga mimi wakati wewe ndio mjinga kamili!?
Ujinga wako uko kwenye damu yaani "blood fool". Taratibu tutakusaidia ili kiwe kinafanya kazi na sio kama ilivyo sasa kazi yake ni kubeba meno pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…