Mbowe: Nitaunda tume ya ukweli na upatanishi nikishinda Uenyekiti

Vichekesho ni vingi nchi hii.

Hakupatana na wote waliotishia uenyekiti wake huko nyuma,Leo ndo aridhiane na hawa wanaomvua nguo kiasi hiki!
 
Mbona hayo maridhiano alivofanya hatukuona matunda yake.
Zaidi zaidi baada ya maridhiano tulishuhudia watu wakitekwa na kuuwawa wakina Ally Kibao, Soka na Sativa

Je Kuna haja gani yakuja na sera ya maridhiano kwa mara ya pili ilihali maridhiano ya Kwanza matunda yake watu waliuawa na kutekwa?
 
Ahaminiki?

Amandla...
Mbowe akiweza kufanya forgery na kubaki kuwa mwenyekiti basi CHADEMA itabaki kuwa yake na Fundi Mchundo . Umma (asilimia 85) hawamtaki. Na mbaya zaidi hiyo asilimia 15 wanayomtaka Mbowe wengin ni wana CCM. Miaka 20 inatosha na akibaki CHADEMA itaandaa presedent mbaya mno kwa siasa za Tanzania.
 
Ahaminiki?

Amandla...
 
Presedent?

Amandla...
 
Dikteta Mbowe katika mbili ta
TatuπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…