bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 631
- 1,268
Muonekano tu... unaonesha ana roho ya namna gani,Ndo DC utu[emoji23][emoji23][emoji23]bongo futuhi sanaView attachment 1615054
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muonekano tu... unaonesha ana roho ya namna gani,Ndo DC utu[emoji23][emoji23][emoji23]bongo futuhi sanaView attachment 1615054
Na mimi nimeshangaa sana kwani hana mke au watoto? Hana mama au baba? Unajua wakiguswa na wao ndio watajua how it feels ila kuwachekea tu haisaidii.Hivi mbowe pamoja na utajiri wake anashindwaje kumtumia madunguaji Sabaya ili kurudisha heshima yake hapo Machame
Lakini mkuu, huo ni uchochezi.Na mimi nimeshangaa sana kwani hana mke au watoto? Hana mama au baba? Unajua wakiguswa na wao ndio watajua how it feels ila kuwachekea tu haisaidii.
Odinga anaheshimika Kenya sio sababu ya diplomasia bali aliwatia adabu. Yaani kuanzia jaji mkuu mpaka msimamizi wa vituo unakuta shangazi yako kang'olewa shingo, ndipo wakatia adabu.
Yan ingekua mimi ni Mbowe, ningeshamuua jamaa siku nyingi, haezi nisumbua namna hii nimkalie kimya..ningekodi watu alshabab wamsomee ramani watembeze risasi hadi na maaskari wao wafeHivi huyu ni superhuman, au?
Maana for years now inaonekana anaweza kufanya uhalifu wowote kwa utashi wake na huwa anasikika akitamba kwa uhalifu huo lakini wahanga wake badala ya ku hit back naona wanalalama tu. Je, yeye ni superhuman na anaogopesha sana?
Mkulu ndio anapenda watu wa dizaini hiyo sijui wanamsaidia nini?Ole Sabaya ukimuangalia tu usoni huitaji kuuliza roho yake ikoje.
Tangu lini kawa reprimanded yeye sabaya?Lakini mkuu, huo ni uchochezi.
Wachochea vurugu na shida.
Wamtumia Odinga lakini Kenya na Tanzania tunatofautiana sana.
Ikithibitika kama ni kweli huyu dogo katenda hayo basi zipo taratibu za kumreprimand.
Hapana huwezi kufanya hivyo.Yan ingekua mimi ni Mbowe, ningeshamuua jamaa siku nyingi, haezi nisumbua namna hii nimkalie kimya..ningekodi watu alshabab wamsomee ramani watembeze risasi hadi na maaskari wao wafe
Kama ameripotiwa kutenda hayo yanayoripotiwa kuna haja ya yeye kuwa reprimanded.Tangu lini kawa reprimanded yeye sabaya?
Lakini hiyo ndio suluhu pekee hakuna namna nyingine tusidanganyane.Lakini mkuu, huo ni uchochezi.
Wachochea vurugu na shida.
Wamtumia Odinga lakini Kenya na Tanzania tunatofautiana sana.
Ujinga tuuu, wew kwa akili yako unaweza fikiri akienda polisi pale Bomangombe atasikilizwa wakat wao ndy wanataka wamuue jamaa huku wanajua mipango yoteHapana huwezi kufanya hivyo.
Mbowe anatakiwa aripoti hiyo kitu polisi na wachunguze kubaini ukweli.
DC hawezi kuchukuliwa hatua na raia kama mwizi.
Kwanini usifanye mwenyewe au Mbowe asifanye mwenyewe?Huko Hai hamuwezi kukusanya matairi ya gari, wengine wakabeba chain-saw, wengine mashoka, mawe ya kutosha na mapanga.
Kisha mkaizingira gari ya Sabaya kwa kuangusha miti mikubwa na chain-saw ili asiweze kuondoka na gari. Mkarusha mawe na Kisha kumkamata?? Mkisha mkamata haraka sana mnampeleka peponi.
Majungu hayo weka facts. Msianze kuogopa matokeo lazima mtafute poo tu.Muonekano tu... unaonesha ana roho ya namna gani,
Em ishia hapo tuu unatia hasiraKama ameripotiwa kutenda hayo yanayoripotiwa kuna haja ya yeye kuwa reprimanded.
Sasa hayo je yamesaidia Colombia hadi leo?Lakini hiyo ndio suluhu pekee hakuna namna nyingine tusidanganyane.
Hii mbinu ilifanya kazi Colombia mkuu, yaani unang'oa chama dola kuanzia kwenye mizizi tena uzuri sio maarufu hao ndugu zao so ukiwapunguza maumivu wanayasikia wenyewe kimyakimya.
Trust me huu upuuzi ndio ungeisha.
Huko Hai hamuwezi kukusanya matairi ya gari, wengine wakabeba chain-saw, wengine mashoka, mawe ya kutosha na mapanga.
Kisha mkaizingira gari ya Sabaya kwa kuangusha miti mikubwa na chain-saw ili asiweze kuondoka na gari. Mkarusha mawe na Kisha kumkamata?? Mkisha mkamata haraka sana mnampeleka peponi.
labda nikuulize, alicokisema mbowe na hicho unachokiona kwenye video vinaendana?Hizi ni siasa na chuki za kijinga sana.
Yani hiyo video inaonyesha watu halisi na sura zao lakini wala hakuna hatua dhidi yao.
Ingekua ni majambazi, kiki za kutosha kwa maafisa polisi na IGP mwenyew mbele ya Raisi!