Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

Hivi mbowe pamoja na utajiri wake anashindwaje kumtumia madunguaji Sabaya ili kurudisha heshima yake hapo Machame
Na mimi nimeshangaa sana kwani hana mke au watoto? Hana mama au baba? Unajua wakiguswa na wao ndio watajua how it feels ila kuwachekea tu haisaidii.

Odinga anaheshimika Kenya sio sababu ya diplomasia bali aliwatia adabu. Yaani kuanzia jaji mkuu mpaka msimamizi wa vituo unakuta shangazi yako kang'olewa shingo, ndipo wakatia adabu.
 
Lakini mkuu, huo ni uchochezi.

Wachochea vurugu na shida.

Wamtumia Odinga lakini Kenya na Tanzania tunatofautiana sana.

Ikithibitika kama ni kweli huyu dogo katenda hayo basi zipo taratibu za kumfanya awe reprimanded.
 
Hivi huyu ni superhuman, au?

Maana for years now inaonekana anaweza kufanya uhalifu wowote kwa utashi wake na huwa anasikika akitamba kwa uhalifu huo lakini wahanga wake badala ya ku hit back naona wanalalama tu. Je, yeye ni superhuman na anaogopesha sana?
Yan ingekua mimi ni Mbowe, ningeshamuua jamaa siku nyingi, haezi nisumbua namna hii nimkalie kimya..ningekodi watu alshabab wamsomee ramani watembeze risasi hadi na maaskari wao wafe
 
Lakini mkuu, huo ni uchochezi.

Wachochea vurugu na shida.

Wamtumia Odinga lakini Kenya na Tanzania tunatofautiana sana.

Ikithibitika kama ni kweli huyu dogo katenda hayo basi zipo taratibu za kumreprimand.
Tangu lini kawa reprimanded yeye sabaya?
 
Mbowe na Faru John bado hajachoka kutia kiki
Wamuue kweli
Huyu jamaa anatumia Ujinga wa wafuasi wake Kuwadanganya na Walivyo Vibendera basi tayari Upepo umepeleka
 
Yan ingekua mimi ni Mbowe, ningeshamuua jamaa siku nyingi, haezi nisumbua namna hii nimkalie kimya..ningekodi watu alshabab wamsomee ramani watembeze risasi hadi na maaskari wao wafe
Hapana huwezi kufanya hivyo.

Mbowe anatakiwa aripoti hiyo kitu polisi na wachunguze kubaini ukweli.

DC hawezi kuchukuliwa hatua na raia kama mwizi.
 
Mie ile tabia yake ya kupora mademu za watu ndio huwa inaniachaga hoi aisee yaani nasikia akimpenda hata wife wako anakupora tu na genge lake .. sijui kwanini Bwana mkubwa anamuacha huyu jamaa
 
Lakini mkuu, huo ni uchochezi.

Wachochea vurugu na shida.

Wamtumia Odinga lakini Kenya na Tanzania tunatofautiana sana.
Lakini hiyo ndio suluhu pekee hakuna namna nyingine tusidanganyane.

Hii mbinu ilifanya kazi Colombia mkuu, yaani unang'oa chama dola kuanzia kwenye mizizi tena uzuri sio maarufu hao ndugu zao so ukiwapunguza maumivu wanayasikia wenyewe kimyakimya.

Trust me huu upuuzi ndio ungeisha.
 
Hapana huwezi kufanya hivyo.

Mbowe anatakiwa aripoti hiyo kitu polisi na wachunguze kubaini ukweli.

DC hawezi kuchukuliwa hatua na raia kama mwizi.
Ujinga tuuu, wew kwa akili yako unaweza fikiri akienda polisi pale Bomangombe atasikilizwa wakat wao ndy wanataka wamuue jamaa huku wanajua mipango yote
 
Huko Hai hamuwezi kukusanya matairi ya gari, wengine wakabeba chain-saw, wengine mashoka, mawe ya kutosha na mapanga.

Kisha mkaizingira gari ya Sabaya kwa kuangusha miti mikubwa na chain-saw ili asiweze kuondoka na gari. Mkarusha mawe na Kisha kumkamata?? Mkisha mkamata haraka sana mnampeleka peponi.
Kwanini usifanye mwenyewe au Mbowe asifanye mwenyewe?
 
Lakini hiyo ndio suluhu pekee hakuna namna nyingine tusidanganyane.

Hii mbinu ilifanya kazi Colombia mkuu, yaani unang'oa chama dola kuanzia kwenye mizizi tena uzuri sio maarufu hao ndugu zao so ukiwapunguza maumivu wanayasikia wenyewe kimyakimya.

Trust me huu upuuzi ndio ungeisha.
Sasa hayo je yamesaidia Colombia hadi leo?

Biashara ya madawa maarufu kama Coffee bado inafanywa.

Halafu Colombia si taifa la kutumia kama mfano maana wao na Mexico si sawa na Tanzania.

Nchi hizo serikali ziko mikononi mwa Cartels.
 
Huko Hai hamuwezi kukusanya matairi ya gari, wengine wakabeba chain-saw, wengine mashoka, mawe ya kutosha na mapanga.

Kisha mkaizingira gari ya Sabaya kwa kuangusha miti mikubwa na chain-saw ili asiweze kuondoka na gari. Mkarusha mawe na Kisha kumkamata?? Mkisha mkamata haraka sana mnampeleka peponi.

Ushauri ni mzuri sana huu.
 
Hizi ni siasa na chuki za kijinga sana.
Yani hiyo video inaonyesha watu halisi na sura zao lakini wala hakuna hatua dhidi yao.
Ingekua ni majambazi, kiki za kutosha kwa maafisa polisi na IGP mwenyew mbele ya Raisi!
labda nikuulize, alicokisema mbowe na hicho unachokiona kwenye video vinaendana?
 
Back
Top Bottom