Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

Kuna dogo mmoja alikuwa snich yaani mpeleka umbea kwa boss,ikafika zamu yake ya kuoa watu tukapokea Kadi ya mchango kwa bashasha ahadi tele za kumchangia,mda wa harusi umefika Hakuna hata mmoja aliyemchangia Kati ya wafanyakazi 150 makadirio angepata si chini ya milioni 10.
Siku kuna boss mmoja akamfuta pembeni akamwambia wafanyakazi wenzio ndio ndugu zako na sio boss maboss ni wapitaji ukuchangiwa sababu ya tabia zako za kupeleka umbeya.
Funzo kioo cha mtu ni watu shikamana na watu utoanguka.
Sabaya hakuangalia kesho yake aliishi leo kwa kumfurahisha mwendazake kwa kuumiza watu, mwendazake Mola wake kampangia majukumu mengine leo sabaya kawa zaidi ya mjane kama alivyo veronica france musiba mulaga gunia la chawa limetupwa juani.
 
hii kesi nayo bado inamsubiri atakoma jamaaa, endeleeni kumtetea pamoja na wale mabaunsa wake
 
Halufu mnasema vijana wapewe nafasi! Ndio jinsi wanavyozitumia, ila ni makosa ya mteuaji, ukiamua kumteua kijana una budi kumfuatilia, kama anaendana na nafasi uliompa? Vijana karibu wote wa kiume awamu ya tano walikuwa tatizo, wangine wamepoa tu kwa kubadilika awamu!
 
Back
Top Bottom