stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Kwa mujibu wa Raisi kacorona kanaenda kwisha wiki ijayo
Hivyo vifo mnavyovisikia ni matatizo ya Hofu tu
Shule zifunguliwe na Michezo irejee ili Watanzania waburudike
Nahisi ata tumechelewa kuanza maaana bundesliga ishaanza kitambo mechi zimechezeka weekend na mish yanaendelea