Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nikikumbuka tulivyodanganywa na mbowe, naishia kucheka tu
atashindwa yy, ila Corona itashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atashindwa yy, ila Corona itashinda
Amini akuna utaratibu wala ushauri wa wataalam, kwa kuwa tumeamua kumshangilia nae ndio anatekeleza tu, tuendelee tu kumshangilia atakapo tufikisha tusiulizane!
Mbona watu ninaokutana nao bado wanasema hali ni mbaya. Tumuamini yupi?.
Haitanishangaza, kwani kule Uganda Waumini wa Kibwetele walisimama na Kibwetele, lakini baadaye vyombo vya habari viliripoti kuwa Kibwetele si miungoni mwa wahanga wa moto uliowachoma wafuasi wa Kibwetele.
RIP MahigaNikikumbuka haya maneno ya mbowe, na leo hii tupo kwenye kampeni watu wanajazana kwa lissu, nabaki mdomo wazi tu
Kwenye hili la corona, sisi upinzani tulibugi sana
Mahiga kaingiaje hapa?RIP Mahiga
Matokeo ya hii mihemko na ushangiliaji pasipo kushirikisha afya ya akili natumai yameshaonekana au bado?Hatutaki upotoshaji wa Mbowe
Mikusanyiko hairusiwi la sivyo ataenda lala selo
MaCCM ni Makenge ya kijani yanakimbia mvua , yanaingia kwenye dimbwi la tape yasilowe, akili zao hazina akili.😂😂😂😂Matokeo ya hii mihemko na ushangiliaji pasipo kushirikisha afya ya akili natumai yameshaonekana au bado?