Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Kwenye hili la corona, sisi upinzani tulibugi sana
Amini akuna utaratibu wala ushauri wa wataalam, kwa kuwa tumeamua kumshangilia nae ndio anatekeleza tu, tuendelee tu kumshangilia atakapo tufikisha tusiulizane!
 
Kwenye issue ya corona tutoe tu credit kuwa raisi alikuwa sahihi, huu ugonjwa kulikuwa na jambo behind the scene
Haitanishangaza, kwani kule Uganda Waumini wa Kibwetele walisimama na Kibwetele, lakini baadaye vyombo vya habari viliripoti kuwa Kibwetele si miungoni mwa wahanga wa moto uliowachoma wafuasi wa Kibwetele.
 
Kwenye hili la corona, sisi upinzani tulibugi sana

Mtajitekenya sana. Hata wewe bwana Mahera ni upinzani nakusikia ukisema kwa kweli kwa hili lissu kajichanganya.

La muhimu kwetu kwa sasa ni kurudisha mtu kuchunga ng'ombe kwanza.

Mengine yote yatafuata zikiwamo haki zetu za kuishi.
 
Back
Top Bottom