Kwa mujibu wa Raisi kacorona kanaenda kwisha wiki ijayo
Hivyo vifo mnavyovisikia ni matatizo ya Hofu tu
Shule zifunguliwe na Michezo irejee ili Watanzania waburudike
Acha ubwege wewe mbweha kitendo cha kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ni kipimo tosha kuwa uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho, kwa ufala wako inalazimisha watu wakubali takwimu feki mnazotengeneza ?ushahidi wa vifo vya corona upo mwingi lakini wewe ni mbumbumbu ulishakariri zidumu fikra za wachakachuaji wa takwimu hata ukipewa ushahidi utakataa, bakia na ujinga wako mwenyewe lakini ujue watanzania siyo wajinga kama wewe.Ni minyoo kweli kama ID yako! Hamkubali takwimu za Serikali wakati huo huo hutaki kutoa takwimu zako zenye ushahidi, waficha za nini? Kwani vifo vinaweza kufichwa? Marehemu huwa ana ndugu, marafiki, jirani na hata washirika wenzake.
Acha kuvuta Bangi kisha uje kusumbua watu mitandaoni siku moja moja ukubali ukweli hata kama Le mutuz hukulazimisha utengeneze uzushi
Hivi unafikiri Ripoti hiyo utaisoma muda huo huo Rais anapoisoma? Rais anapata taarifa mapema sana hivyo kuhoji Ripoti imetoka au laah ni kukosa maarifa kwenyewe.
Je, uliambiwa upimaji usingefanyika kipindi wanafanya huo uchunguzi?
Mkuu! Ulipotea sana humu kiasi kwamba nilihofu kuwa umebikiwa kesi utakatishaji fedha.hana lolote kasikia mabeberu wanaongelea kufungua na yeye anataka kufungua wakati hata mashine mbovu inayopima mapapai positive hajaibadirisha intubators hana na hata mpango mkakati w kitaifa wa kupambana na janga hana
WHO walitabiri hali yetu waafrika kuwa mbaya, Bill gates na Melinda gates wakatabiri tutakufa na kuzagaa mitaani.Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.
Namimi naona anachelewaNahisi ata tumechelewa kuanza maaana bundesliga ishaanza kitambo mechi zimechezeka weekend na mish yanaendelea
Uko sahihi kabisa, hakuna Mungu wa Tanzania pekee, hapa tumepelekwa chako.Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.
Unajisikiaje sasa kiongozi? Amani imerudi? Umeamini kwamba Mungu ni zaidi ya kila intelijensia, itikaji ama filosofia?Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.
Mkuu @NewOrder,ndio Watanzania kipenzi cha CCM. Bila aina hii ya binadamu kupungua sana au kuisha kabisa,basi Tanzania tusitegemee maendeleo. Mtaji wa CCM kuendelea kuongoza ni wajinga na ujinga wao.Raia wa aina yako ndio laana ya nchi hii. Unaambiwa kuna tume inachunguza. Imemaliza kazi yake halafu unakuja kumshutumu mtu anayetaka tu kufahamu mambo yaliyojulikana! Unadhani utawahi kuhoji matumizi ya kodi unayolipa??
Umeambiwa vipimo ni feki. Ripoti ya tume ingeonesha ukweli au uongo wa hilo na tukajua kipi kinaendelea baada ya hapo. Toka tangazo la vipimo feki hata takwimu hakuna kwa sababu maabara ilifungwa kwa maelezo ya Ummy kuwa inafanyiwa ukarabati na wakati huo huo uchunguzi. Kweli kuhoji hili nalo ni jambo baya??
Raia wa hovyo sana wewe!!
Watu wameshaugua corona wengi sana wamepona, wapo waliokufa, wapo ambao bado wanaumwa pia.Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.
Wapi ambako mashine zimezuia vifo? Sweden wana lockdown? Au unaamka tu unaanza kuwaza swala ambalo wala huna control nalo. Fuata maagizo ya wataalamu kujilinda wewe na watu wako wa karibu. Ukianza kuwaza mambo ya wa tz wote, na sasa una shaka hata na watalii. Strange.Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.
MkuuNchi haiendeshwi kama wewe unavyofikiria. Corona ni dhaifu.
Tangu corona imeingia sijavaa barakoa, sijafunga biashara zangu nahudumia wateja kama kawaida.
Wananishangaa kwanini sivai barakoa.
Dawa ya kujikinga nafanya mazoezi kila siku 5 za wiki, nakimbia kilometa 5, nakunywa maji mengi kila siku.
Corona ni dhaifu. Shughuli zifunguliwe tutengeneze pesa. Rais yupo sawa.
Yote uliyosema ni wishful thinking tu.We umeelewa kuwa wataruhusu tu wanafunzi na michezo kwa pupa!!! Yawezekana wakaanza na wale wa juu wa chuo,hawa madogo wakasubiri kwanza...Michezo pia yaweza chezwa bila spectators kama walivyofanya Bundesliga. ..Mtu msomi kufikiria kuwa kufungulia michezo kipindi hiki basi tutaona mashabiki wamejaa uwanjani ni......* ...basi ngoja nikuache tu.
Hizo gloves alizovaa kazi ya ni nini, au ndio mbinu za kisayansi?
Kweli lazima precaution zichukuliwe. Lazima kunawa na sabuni na kujipaka sanitizer iendelee kama kawaida huwezi kuacha. Ndo maana mku wa nchi alikataa kufungia watu ndani. Hakuna cha Lockdown just because huyu Corona huwezi jua ataondoka lini sio mgeni wakupangia siku ya kuondoka.hawaruhusu kama unavyofikiria wewe kuna utaratibu maalum utakao zingatiwa wa kitaalam utakaofatwa.
corona haishi leo wala kesho ni lazima maisha yaendelee huku kukiwa na tahadhari kubwa.
magufuli anaanzisha ila hamini nakwambia kuna nchi nyingi tu zita fuata,
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kwamba ugonjwa bado upo lakini umeshapungua kasi.We umeelewa kuwa wataruhusu tu wanafunzi na michezo kwa pupa!!! Yawezekana wakaanza na wale wa juu wa chuo,hawa madogo wakasubiri kwanza...Michezo pia yaweza chezwa bila spectators kama walivyofanya Bundesliga. ..Mtu msomi kufikiria kuwa kufungulia michezo kipindi hiki basi tutaona mashabiki wamejaa uwanjani ni......* ...basi ngoja nikuache tu.