Chadema kimewekeza kufuga misukule haina ufahamu haijielewi inaburuzwa tu na DJ imejaa humu jf haina kazi wao ni kupinga kila kitu na ilivyo kosa ufahamu mmiliki wao dj hata akijamba inasifuHakika Chama cha mapinduzi kimefaulu kuwekeza katika ujinga.
Anyway, kama mtu unatengwa na kudharauliwa na majirani zako na bado hujitambui basi hakuna jinsi Ila kusubiri ufe tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mashabiki wa corona FCatashindwa yy, ila Corona itashinda
Mtu mdogo katika taifa! Mtu mdogo atampigia raisi simu?Hatutaki upotoshaji wa Mbowe
Mikusanyiko hairusiwi la sivyo ataenda lala selo
Aiseeee !!
Mbowe mbabaishaji sana, aliwatoa Wabunge wa Chadema Bungeni eti wanafanya Self Isolation ya siku 14. Siku hizo 14 zimeisha wanarudi Bungeni, kwani Corona imeisha? Ushauri wangu, waendelee na isolation tu hadi Corona itoweke kabisa
HOTUBA YA MBUNGE FREEMAN MBOWE KWA UFUPI
Nimezungumza na Rais kwenye simu nimemuambia tafadhali shirikisha Jamii pana ya Watanzania ili jambo tulibebe wote, huu ni msiba na msiba haachiwi Mtu mmoja, kwa nia njema kabisa, tushirikiane kwa pamoja kwenye mapambano haya dhidi ya virusi vya corona.
Mhe. Rais unafiki haujawahi kuliacha taifa lolote salama, usikae wakati wote ukafikiri sisi ambao tunajaribu kukushauri, kuikosoa Serikali yako na kuilekeza, eti tuna nia mbaya au nongwa na wewe, hapana! , tunafanya hivi kwa nia njema na mapenzi sana kwa nchi yetu."
Mhe. Rais lawama zote za janga la Corona zitakuangukia wewe, huu ni ukweli wa Mungu na mimi kama Mbowe, mtu mdogo sana katika nchi yetu, nikwambie Rais wangu, wanaopinga ushirika wa taifa katika vita hii wanawaza uchaguzi na kuomba huruma yako katika uteuzi.
Nasikitika kwa niaba ya CHADEMA kwa namna ushauri wetu wa kuwataka Wabunge wajiweke karantini ulivyopokelewa vibaya na kuonekana tunashindana, Spika ametumia majukwaa mbalimbali kunishambulia na kuninidhalilisha mimina Viongozi wenzangu bila kuiona nia yetu njema.
Spika kila akitaka kuahirisha Bunge lazima apande na Mbowe, tumekutana Bungeni na Spika miaka 20 iliyopita sijawahi kumvunjia heshima hadharani wala sirini, nimesoma Kibaha na Spika amesoma pale ni mwanafunzi mwenzangu wa shule moja, namuheshimu,naliomba Taifa kumuombea.
Tuligoma lockdown tukashindwa hata kufanya partial lockdown na tukaruhusu ugonjwa kuenea na kuua wapendwa wetu, tulidhani tunalinda uchumi wetu na kusahau uhai wa watu wetu, sasa Corona inaendelea kutula wote, inakula uchumi wetu tupende tusipende.
Namshukuru Mungu kwa sasa Mwanangu ambaye alikuwa mgonjwa wa corona hatimaye amepona baada ya kukaa karantini kwa siku 57 nina uhakika amejifunza mengi, Familia nayo imejifunza mengi, nawashukuru Madaktari na wahudumu wengine
Kufuatia kikao hiki, Kamati Kuu imejadili kwa kina, miongoni mwa agenda mbalimbali, Janga la Corona na athari zake kwa taifa letu, mataifa ya jirani na dunia nzima katika ujumla wake.
Kamati Kuu,ilijiridhisha kuwa janga hili halihitaji masihara, mzaha wala usiri katika kulikabili.Ilitambua kwa mara nyingine umuhimu wa kuweka tofaui zetu pembeni na kutoruhusu chuki za kisiasa, hodhi za kisiasa, kiburi cha madaraka na mamlaka katika kupambana na vita hii.
Mwisho
Myopic! Dikteta gani aliwahi kuhutubiwa na upinzani.dikiteita
JiweMyopic! Dikteta gani aliwahi kuhutubiwa na upinzani.
Vijana wa DAB mnaangaika sana qmmkeTuna sikiliza hotuba ya Rais wa Tanzania
Huyo Mbowe msikilizeni hapo ufipa
Tatzo hampendi uhalisiaSawa mashabiki wa corona FC
akili tulivu tu
Hulazimishwi kumfuata jomba..na Wala huna haha ya kutuambia..we fuata utaratibu unaoujua baasi..Wala haina haja ya kugombana na mtuHao wenzetu probably wanaelewa anachokifanya ,acha tusubirie tuone.Ila mie kwa huyu mtu akili yangu imegoma
Labda tuambie ukishapewa taarifa za wagonjwa wapya kwa upande wako unachosaidia ni Nini..tuanzie hapo..je unachukua tahadhari zote za kujikinga kulingana na na maelekeo ya wizara ya afyaTatzo hampendi uhalisia
We jiulize hv ni kwa nn taarifa za wagonjwa wapya hazitolewi...?je n kwamba hakuna wagonjwa wapya.
na hao wagonjwa wanaopona wanapimwa kwa kipimo gani ikiwa hvyo vpimo vlivyokuwa vinatoa positive results vilikuwa haviaminiki kwa nn viaminike kwa waginjwa wanaopona tu
ok sio mbaya tukiendelea kujitekenya na kucheka sie wenyewe
Sasa mkuu,Kama watu wengi wakiwa Kama Mimi then wakaenda kwa utaratibu huu unaoshauri hapa huoni hatari iliyoko mbele?Hulazimishwi kumfuata jomba..na Wala huna haha ya kutuambia..we fuata utaratibu unaoujua baasi..Wala haina haja ya kugombana na mtu
Za ukimwi zinatolewa?madaktari ndo hawaaminiki vipimo vinaendeleaTatzo hampendi uhalisia
We jiulize hv ni kwa nn taarifa za wagonjwa wapya hazitolewi...?je n kwamba hakuna wagonjwa wapya.
na hao wagonjwa wanaopona wanapimwa kwa kipimo gani ikiwa hvyo vpimo vlivyokuwa vinatoa positive results vilikuwa haviaminiki kwa nn viaminike kwa waginjwa wanaopona tu
ok sio mbaya tukiendelea kujitekenya na kucheka sie wenyewe
Nakupata changamoto huache kuzingatia ushauri wa Serikali wa kujikinga dhidi ya maambukizi ufuate wa yule unayemwamini. Lakini naamini unazingatia na ndiyo maana bado uko hai na familia yako kiasi cha kuwa jeuri ya kuporomosha matusi.Acha ubwege wewe mbweha kitendo cha kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ni kipimo tosha kuwa uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho, kwa ufala wako inalazimisha watu wakubali takwimu feki mnazotengeneza ?ushahidi wa vifo vya corona upo mwingi lakini wewe ni mbumbumbu ulishakariri zidumu fikra za wachakachuaji wa takwimu hata ukipewa ushahidi utakataa, bakia na ujinga wako mwenyewe lakini ujue watanzania siyo wajinga kama wewe.
Hao watakuwa wamechagua kifo wenyewe..Kila kitu lipo wazi jomba, wale usihangaikeSasa mkuu,Kama watu wengi wakiwa Kama Mimi then wakaenda kwa utaratibu huu unaoshauri hapa huoni hatari iliyoko mbele?